Thursday, 8 December 2011

HAYA VILE VIATU VYA UKWELI VIKO MUJINI, WAHI VYAKO LEO UPENDEZE


WENYE MIGUU YAO, MNYAMA KATULIAA EEE. CHEZEYA FASHIONISTA HUYU KESHA WAHI VYAKE. 
 
VINGINE HIVI VISHACHUKULIWA NA WENYEWE


KAMA HUPENDI JINYANYUA HIVI VIPO, PATRA MGUU UMEMTENDEAJE MNYAMA HAKI

UDDAH NAE HAKUTAKA PITWA, ETI ATATOKAJE XMAS NA MWAKAMPYA HUU

NAWEWE NJOO UCHUKUE VYAKO KABLA HAVIJAISHA UTOKE TRENDY CHRISTMAS NA MWAKA MPYA. VIPO VINGII, KAMA UNAVYOONA KWENYE BANNER HAPO JUU AU BONYEZA SNEAK PICS ZA VIATU VYA UKWELI UONE BAADHI YA COLLECTION ILIYOPO KWENYE STOCK.

PIGA SIMU: 078 763 8958 KUNUNUA AU KWA MAELEZO ZAIDI (HUDUMA NI NZURI SANA)
NA MIKOANI VINAFIKA WEWE TOA ODA YAKO TU.

KARIBU

Tuesday, 6 December 2011

OFFER NYINGINE YA PUNGUZO LA BEI YA PERFUME SPECIAL KWA AJILI YA CHRISTMAS


CHRISTMAS IMEANZA MAPEMA TRENDY PERFUMES TZ. MWAKA HUU KILA MTU ATAPATA ZAWADI YAKE.

MAANDALIZI MEMA

PERFUME ZOTE ZINAPATIKANA DALLAS SHOP SINZA KIJIWENI, AU WAWEZA PIGA SIMU AU EMAIL ORDER YAKO UKALETEWA MPAKA MLANGONI.


SIMU: 0716199724

KARIBU

IPENDE SEHEMU UNAYOPUNGUZIA UCHOVU



KITANDA KISAFI KIMEPENDEZA EEEH.

NAWE WAWEZA PENDEZESHA CHAKO.
BEDDINGS ZA UKWELI KAMA HIZI NA NYINGINE NYINGI ZINAPATIKANA BONGO. NITAKUJUZA NI WAPI UPATA YAKO SOON.

Monday, 5 December 2011

MDHAMINIIII

Wenye miguu yao kaeni mkao wa kula. Kuanzia mnyama, nyoka nyoka, block heels, colour blocking vyoote utapatiwa kwa ajili ya kusherehekea chrismas na mwaka mpya kwa style.




Usipitwe na wakati, ukihitaji kutoka na colour blocking hizi au trendy nyingine ambazo ni must have 2012 endelea kuwepo.

SWALI LA KIPINDI CHA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA


je unategemea/unapendelea kutoa au kupokea perfume kama zawadi ya christmas au mwaka mpya mwezi huu?

Kama ndio, ni perfume gani ungependa kutoa au kupokea?

mimi nina zawadi zaidi ya kumi za kuwapa ndugu, jamaa na marafiki kabla ya christmas na mwaka mpya na zote ni perfume ambazo zilikuwa kwenye wish list ya walengwa.

Na ofcourse, binafsi nategemea kupata perfume nyingine chrismas hii kwani huu ndio ugonjwa wangu, sijawahi kusema no kwenye perfume.

Haya tujuze na wewe umeandaa nini cha kuwapa wapendwa wako, unakaribishwa kushare nasi kwa kuacha comment yako.

Siku njema.

Friday, 2 December 2011

UKISIKIA HII UJUE MWAKA UMEISHA

WAKATI UNAENDELEA NA MAANDALIZI YA CHRISTMAS USISAHAU KUFIKIRIA NEW YEAR'S RESOLUTION.
KWA KUWA HUU NI WAKATI WA JOY, BURUDIKA NA XMAS CAROL


WEEKEND NJEMA

Thursday, 1 December 2011

KWA WANAOJUA UMUHIMU WA VITU QUALITY NA ORIGINAL HII INAWAHUSU, HAKUNA KUCHAKACHULIWA.

PATA BIDHAA MBALIMBALI NA ORIGINAL KUTOKA UK NA JAPAN KWA MATUMIZI YAKO YA KILA SIKU.

KWA VITU KAMA HIZI ENERGY SERVING BULBS NA VINGINE VINGI KAMA HIVI SASA VINAPATIKANA TANZANIA NZIMA KWA BEI POA. 

KWA MAELEZO ZAIDI WATEMBELEE HUMU http://www.shilingishop.blogspot.com/ 

KUTUMIA MCHINA TENA BASI!

Chupa yako ya perfume inategemewa kuisha baada ya muda gani?

Samahani perfumistaz kwa kutoku-update siku mbili tatu zilizopita, majukumu yalikula kwangu kidogo ila sasa nimerudi kuendeleza libeneke kama kawa.

Nimekuja na interesting topic kuhusu muda unaotegemewa chupa ya perfume kuisha. Hata hivyo inategemea unajipulizia spray ngapi kila wakati unapotumia perfume. Pia unaperfume ngapi katika collection yako.


FM 199 100ml for him


Kwa mfano mimi ninapotoka kwenda kazini natumia spray 4. Moja kwenye kila kiganja cha mkono jumla 2 na moja kila upande wa shingo jumla 2. kumbuka hii ni ile kupress  na kuachia mara moja (psy) sio ile kupress na kuhold (psyyyyyyyyyy). Nawe pia utakuwa na aina ya upuliziaja wa perfume unaopendelea.

Ukweli ni kwamba kama unaspray perfume kawaida kwenye chupa ya ml 50 kunatakiwa kuwe na wastani wa sprays 735 na 1470 kwenye chupa yenye 100ml.


FM 311 50ml for her

Kwa kuwa kuna siku 365 kwenye mwaka, angalia guideline ifuatayo kujua collection yako ya perfume itachukua muda gani kuisha.

Size ya chupa:    Idadi ya spray utumiazo kwa wakati mmojaSiku zitakazochukua perfume kuisha

50ml                                                   3                                                         245

50ml                                                   5                                                         147

50ml                                                 10                                                          73

100ml                                                 3                                                         490

100ml                                                 5                                                         294

100ml                                               10                                                        147

Kumbuka hii ni kama unatumia perfume mara moja tu kwa siku, obviously kama unatumia asubuhi na jioni siku zitapungua. na kama una tumia perfume tofauti kila siku siku zitazidi.

Je, ukweli huu umekushangaza? Hii ni sababu nyingine kwa nini kila mtu atumie perfume kwani ni essential kwa matumizi ya kila siku kwa kila mtu smart na zinadumu kwa muda mrefu, what a value for money product to treat yourself, family and friends.

Kama bado, wahi yako sasa stock mpya imeingia. Kuna scent tofauti nyingi kwa hiyo kuna moja kwa kila mtu. wasiliana nasi kama kawaida kupata yako. Bila kusahau wa mikoa ukitoa order leo kesho yake inakuwa delivered.

simu 0716 199 724 au email: imafmtz@gmail.com

Habari nyingi ya kusisimua kuhusu matumizi ya manukato inakuja, usiikose.

Friday, 25 November 2011

WEEKEND POLL

Kuwa free kujibu maswali matatu yafuatayo ya poll yetu ya week hii, its just for fun.

1. je, leo umetumia perfume gani?

2. Una jumla ya perfume ngapi kwenye dressing table yako?

3. Ni perfume gani hauna lakini unatamani sana kuwa nayo?

Mimi nimetumia hivi
Federico mahora(FM) unperfumed deodorant, FM 142 Eau de perfume na FM 147 body lotion, full layering. 



Have a nice weekend perfumistaaz. God bless you.

PATA IDEAS YA ZAWADI ZA KUTOA CHRISTMAS

Of course pamoja na vitu vingine vyoote, perfume is a must have kwenye list yako. Bonyeza upate ideas toka kwa justin bieber. Kunukia muhimu.



Wasiliana nasi nawe upate yako. siku zimekwisha. Simu 0716199724 au pitia yako Dallas sinza kijiweni.

IMEBAKIA SIKU MOJA

Perfumisha unakumbushwa kutumia siku ya leo kupitia dallas shop na kupata perfume yako iwe ni kujitreat mwenyewe au zawadi ya chrismas na mwaka mpya kwa wapendwa wako wakati huu wa punguzo. Kesho Jumamosi Punguzo linakiwisha na bei zinarudi kuwa kama kawaida.

FM PERFUME GIFT FOR HER 

FM PERFUME GIFT FOR HIM

Usiikose, Save pesa yako. Tumia high quality Federico Mahora perfume kwa bei nafuu.
Express your personality.

WEEK END NJEMA

Wednesday, 23 November 2011

ONYESHA UPENDO KWA WAPENDWA WAKO XMAS HII NA MWAKA MPYA


Unaweza kuwa na mapenzi ya dhati kwa yeyote unayemjali (mke,mume, wazazi, ndugu, jamaa na marafiki) lakini kama huonyeshi hili hawawezi jua. Zawadi ni kitu kidogo ila thamani yake kwa mpokeaji ni zaidi ya maneno. kwani mtu ataona ni jinsi gani umechukua muda wako kumfikiria na    kumpa kitu ambacho kitamfanya ajisikie vizuri na kukukumbuka siku zote.

kitu kama perfume ni perfect gift, pitia yako leo pale Dallas kabla punguzo na stock havijaisha. pia waweza toa order yako kupitia imafmtz@gmail.com au piga simu namba 0716199724. Punguzo mwisho ni jumamosi hii.

Onyesha LOVE, toa Zawadi.

Pata ujumbe na burudani toka kwa MC- I want to know what love iiiiiiiis, I want you to shooooow me



                                                                   ENJOY

Tuesday, 22 November 2011

SNEAK PICS ZA VIATU VYA UKWELI

Hivi vyootee na vingine vingi vinapatikana live ndani ya nyumba, bongo. Nenda na wakati kwa kuvaa moja kati ya hivi ambavyo ni trendy sasa hivi, usipitwe.






















Kama wewe sio wa michuchumio hivi pia vipo bila kusahau KT





Endelea kuwepo kwa habari zaidi kuhusu hii miguu ya haja.

                                                                     Siku njema

Monday, 21 November 2011

Viatu vya ukweli kudhamini Trendy Perfumes Tz blog, Yeeeeiii!

Habari njema kwa wale wapenzi wa viatu. Very soon utapata kuona viatu kama hivi na vingine vingi live humu mjengoni na vyote vinapatika Tanzania kwa bei nafuu, size kuanzia 36 mpaka 41. Usicheze mbali.



kama hiki kimekubamba nibeep kupitia imafmtz@gmail.com kujua ni wapi utakipata leo. Mwanamke kiatu usafiri majaaliwa.

Hili ni angalizo tu, habari yenyewe inakujaa. Utapitwaje.

Sunday, 20 November 2011

PUNGUZO LA BEI ZA PERFUME, WAHI SASA NI KWA WIKI 1 TU

Kuna punguzo la bei kwa wiki moja kuanzia jumapili hii mpaka jumamosi ili kuwasaidi perfumistas kuchagua zawadi za christmas na mwaka mpya iwe unaji-treat mwenyewe au mpendwa wako.

Kuna fragrance nyingi tofauti kukidhi upendeleo wako na kurepresent character, jinsia na umri wowote, kama ifuatazo:

FM 262 for her 30ml floral(TIMELESS) Tumia hii wakati wowote, popote inafaa. Ukitumia asubuhi kazini, kama unaonganisha na mtoko jioni wewe jipulizie tena kabla haujatoka kazini na kila utapopita watu watatamani upite tena.

FM 12 for her 30ml Oriental(sensual)Kwa wale wenye dates au evening/dinner out na anayekujali hii nitarudisha attention yoote kwako wala hataangalia pembeni lol.

FM 32 for her 30ml Oriental (Extravagant) Kama inavyojielezea ina kila kitu extra unachotegemea kutoka kwenye manukato nzuri zaidi kwa jioni ila ukipenda toka nayo muda wowote

FM 21 for her Floral (Timeless)Haipitwi na wakati hii tumia popote, kila perfumista must have haitamiss kwenye dressing table yako forever.

FM 34 for her 30ml Chypre(Chic) kama umealikwa kwenye party na hauna mood wa kuparty tumia hii, night club ndio yenyewe. Hakuna harufu ya sweat au sigara, party mpaka asubuhi

FM 125 for her 30ml Floral (Go ahead) tumia hii popote, mahususi kwa wanawake wenye strong character ambao hawaogopi kuface challenges itakuongezea nguvu na confidance na bado unukie kama lady

FM 142 for her 50ml Oriental (Provocative) Usije tu ukatumia hii kazini kwani kama inavyoelezea ni provocative, Kicheni pati au mtoko wowote ndio mwake ila angalia usije mfunika mtarajiwa na spray moja shingoni na viganja vya mikono au la kila unachoshika kitabaki na harufu ila ni taamuuuu. Kama wewe unataka kunukia pitia hii zimebaki mbili tu.

FOR MEN

FM 132 for him 50ml Citrus(Light) kama haupendi harufu kaliii lakini unapenda kunukia freeesh wahi hii imebaki moja tu kwenye stock.

FM 135 for him 50ml Fougere (Light)Hii pia ni kwa wale wnaume wanaopenda kunukia vizuri lakini wako sensitive na harufu kali sana.

FM 56 for him 50ml Chypre (Determined) Ukitumia hii ni wewe tu utakae kuwa noticed/attracted kwenye group

FM 60 for him 50ml Wood (Liberated) Maalum kwa open-minded modern men

FM 54 for him 50ml Fougere (Bussiness) perfect kwa smart successful na professional man kazini

FM 68 for him 50ml Fougere (Business) hii ni sawa na FM 54 kwa successful professional au business men

FM 208 for him 50ml Wood (Elegant) Kama wewe ni mpenzi wa popula perfume play for men by givenchy ukinusa hii hautaiacha, sooo smart and stylish scent

 FM 223 for him 50ml oriental (Elegant) ongeza mvuto na style kwa kutumia  modern scent kama hii















FM 198 for him 50ml Wood (Determined) perfect kwa wanaume wanaojiamini











FM 152 for him 100ml Wood Elegant) Hii scent haitakuangusha kama unahitaji kureprent ulivyokua modern, stylish na smart muda wote











FM 155 for him 100ml Wood (go ahead) Hauhitaji kujiuliza mara mbili uende au usiende full kujiamini tumia hii

Haya stock inaishia kwa hiyo usikose yako wakati huu wa offer, pitia Dallas shop leo. Duka liko sinza kijiweni karibu na duka la nguo la kwa wajanja au piga simu 0716 199724 au 0787 638958 kutoa order yako utumiwe popote mikoani. Au kwa maelezo zaidi tuma email imafmtz@gmail.com 

Bei ni kati ya Tsh 45,000 na 65,000 tu, wiki ya punguzo usiikose, offeer ikiisha bei ya kawaida inarudishwa
                                                            KARIBU