Monday, 3 October 2011

Love at first Scent



Asili ya perfume ni matumizi ya vitu vya manukato kuamsha hisia. (Aromatherapy)
Neno perfume peekee limetokana na maneno mawili ya kilatin "Per Fumum" ya kimaanisha Kupitia mvuke(smoke)

Perfume zimegawanyika katika families kutegemea na ingredients zilizotumika kutengeneza manukato (fragrance). Kila perfume kwenye Market ina mchanganyiko wa ingredients wa pekee lakini zote zinakuwa katika fragrance family moja ambazo ni Floral, Oriental, Wood au Citrus au mchanganyiko wa hizo group nne ndio maana utakuta kuna perfume za brand name tofauti lakini zina nukia sawa. Hii ni kwa sababu manufacturer tofauti wanatumia fragrance oil family moja kati ya hizo zilizotajwa hapo juu.



Not everything needs to be said, sometimes it is enough to smell perfectly and all become clear.

Endelea kuwepo kujua fragrance families na perfume zake ndani ya trendy perfumes tz kwa bei poa. Hizo perfume mbili hapo juu ni baadhi tu ya many more to come right here na zote utazipata Tanzania. Wahi yako kuepuka disappointment, tupigie namba 0716199724 au email imafmtz@gmail.com kutoa order yako na kujua wapi utazipata. Stay tuned.

3 comments:

  1. Hizi product zimeshaingia bongo? Naweza kuzipataje? Unazo variety zake maana wana products nyingi. Niambie wapi nitazipata tafadhali.

    ReplyDelete
  2. Hi jamani mimi nipo Arusha...nitazipataje hizi purfume.....Please please I need the contact if you can still sell the purfume out of Dar Es Salaam.

    ReplyDelete
  3. Asanmte kwa kutembelea yes perfume zetu zinapatikana tanzania nzima na nje kwa maelezo zaidi piga simu namba 0716199724 karibuni

    ReplyDelete