Wednesday, 16 November 2011

Kubadilisha taste ya perfume


Imekuwa ni kawaida ya perfumista wengi kupendelea kutumia perfume fulani kwa sababu wamekuwa wakiitumia kwa muda mrefu na wanaamini inawafanya wanukie na kujisikia vizuri. Kwa hiyo unakuta mtu anaendelea kununua perfume ile ile over and over again. Sio vibaya kuendelea kutumia kama unaipenda ila ni vizuri pia kuchanganya na nyingine wakati mwingine.

Well, kadri siku zinavyokwenda vitu around you vinabadilika hii ni permoja na umri, kazi au lifestyle kwa ujumla hata taste ya perfume inabadilika.Unaweza kupenda perfume fulani kwa sababu kila mtu mjini anaitumia, wakati mwingine sio vibaya kwenda kwenye mkusanyiko wa watu ukiwa unanukia attractive lakini kivyako.

At te end of the day, unapotumia perfume si kwa ajili ya  kuwafurahisha watu wengine, ila kutumia perfume inayokupendeza na kukufurahisha wewe. Kwa hiyo usijali kutumia perfume ambayo watu hawai-recognise ili mradi unaacha kumbukumbu nzuri.

Perfume iko kwa ajili ya kuelezea wewe ni mtu wa aina gani na ni therapy ambayo haihitaji therapist kwa hiyo lipuka na scent uipendayo kwa muda uupenda na mahali upendapo utajisikia vizuri muda wote.                                                 Express yourself with scents

Unakaribishwa kutoa maoni yako kuhusiana na hili au linginelo, siku njema.

Tuesday, 15 November 2011

Zawadi za christmas na mwaka mpya

All you need this Christmas, bonyeza mshale ufurahie


FM 297 LUXURY EXTRAVAGANT COLLECTION 50ML

Wasiliana nasi sasa upate yako, namba na email address ni zile zile au pitia Dallas shop, sinza kijiweni

KARIBU

Manufaa ya kuwa perfumista

Kuwa perfumista ni zaidi ya kunukia vizuri tu. Ukiwa mpenzi wa kutumia perfume kama sehemu ya life style yako kama vile football, music, drinking nk utapenda na kuenjoy vitu vingi vinavyohusiana na burudani.

Inasemekana ku-appreciate perfume kuna-affect maisha yako kwa ujumla (in a positive way).
Perfume inaamsha hisia mbalimbali, inaacha impression na experience nzuri, na ku-balance beauty na style.Kama ni mpenzi wa perfume basi endelea kuenjoy kwani kuna manufaa kwako, kama sio mpenzi wa perfume bado jaribu leo utashangazwa na experience nzuri utakayoipata.

Na ukitaka perfume za ukweli, usisahau kukatiza Dallas pale sinza kijiweni ukapate yako kwa bei poa au piga simu 07161 99724 au 0754 450958 pia waweza tuma email yako kupitia imafmtz@gmail.com kwa huduma zaidi

FM 320 na 321 for Her

perfume kama hizi na nyingine nyingi zinapatikana, wahi kabla stock haijaisha

Endelea ku-enjoy

America's next top model nao wana perfume yao!
Kipindi maarufu cha reality TV show kutoka marekani kinachoongozwa na Model Tyra Banks nacho kina perfume yake inayoitwa Dream Come True, how sweet.

Dream Come True imetengenezwa kumfanya msichana yeyote anayeitumia kujisikia mwenye furaha, na kuhamasisha mafanikio katika kazi.

Dream Come True yenyewe ndio hii, ya ukweli.

America’s Next Top Model Perfume Dream Come True

Be Inspired. Warembo itafuteni

Sunday, 13 November 2011

Perfume ya Justin Bieber yawafunika J lo na Britney Spear

Perfume ya mwanamziki mpya Justin Bieber SOMEDAY ime-hit market na imeshatengeneza zaidi ya $ million 3 mwaka huu licha ya kuingia sokoni mwezi uliopita tu. Mafanikio ya perfume ya Bieber ni zaidi ya yale ya perfume ya JLO GLOW na CURIOUS ya Britney Spears.

Someday


Imasemeka perfume ya JB ndio popular celebrity fragrance ya mwaka so far.

Wapi celebrity wa bongo