Tuesday, 15 November 2011

Manufaa ya kuwa perfumista

Kuwa perfumista ni zaidi ya kunukia vizuri tu. Ukiwa mpenzi wa kutumia perfume kama sehemu ya life style yako kama vile football, music, drinking nk utapenda na kuenjoy vitu vingi vinavyohusiana na burudani.

Inasemekana ku-appreciate perfume kuna-affect maisha yako kwa ujumla (in a positive way).
Perfume inaamsha hisia mbalimbali, inaacha impression na experience nzuri, na ku-balance beauty na style.



Kama ni mpenzi wa perfume basi endelea kuenjoy kwani kuna manufaa kwako, kama sio mpenzi wa perfume bado jaribu leo utashangazwa na experience nzuri utakayoipata.

Na ukitaka perfume za ukweli, usisahau kukatiza Dallas pale sinza kijiweni ukapate yako kwa bei poa au piga simu 07161 99724 au 0754 450958 pia waweza tuma email yako kupitia imafmtz@gmail.com kwa huduma zaidi

FM 320 na 321 for Her

perfume kama hizi na nyingine nyingi zinapatikana, wahi kabla stock haijaisha

Endelea ku-enjoy

8 comments:

  1. jamani mm ni mpenzi sana wa pafyum,ila kuna pafyum moja iyo niliwahi kuitumia lakini sasa haipatikani tena,inaitwa Avon surrender for her,waweza kuigoogle pia,sanasana ilikuwa inapatikana UK,jaman naitafuta hii pafyum kwa udi na uvumba,naipenda sana

    ReplyDelete
  2. I am a perfume lover mpaka watu huwa wananishangaa, my dressing table is full of perfumes, and i as well love shower gels and body lotion nzuri.....napenda kunukia vizuri kwa kufupi

    ReplyDelete
  3. Perfumista wa 06:44 pole kwa kukosa signature perfume yako, nitajaribu kuitafuta nikiipata nitakujulisha endelea kupitia humu. kwa muda huu jaribu kuexplore perfume zilizo available ili isikukoseshe raha unaweza pata nyingine nzuri kama hiyo. Asante kwa kushare nasi na karibu tena

    ReplyDelete
  4. Perfumista wa 12:56 hongera,kwani uzuri wa art ya perfume ni layering yaani unatumia shower gel, body lotion, deodorant, pheromone na perfume zenye scent moja weee utanukiaaa mpaka raha. Tunaomba ututumie dressing table yako tuitamani bloguni. Pia waweza tutembelea kuona vitu vyetu kuna kila kitu unachohitaji ku-layering. asante na karibu tena.

    ReplyDelete
  5. Yes naweza kuituma, ila nitakutumiaje? email will do

    ReplyDelete
  6. Mdau wa Avon Surrender for her nasikia hiyo avon inafanana kidogo na Elle ya YSL unaweza kutafuta hiyo Elle u-replace Avon wakati unaendelea kutafuta....me i do have Elle..its very nice my dia yuo gotta try it

    ReplyDelete
  7. Kama una picha au chochote unataka niweke kwenye blog tuma email yako kupitia imafmtz@gmail.com itawekwa moja kwa moja hakuna kubaniwa

    ReplyDelete
  8. Ushauri mzuri kutoka kwa perfumista wa elle, kuna perfume nyingi sana so kupata similar scent ni rahisi kwa mpenzi wa elle kajaribu FM294 you will love it even more. asante kwa hushare na karibu tena

    ReplyDelete