Wednesday, 18 April 2012

Mambo ya Fiderico Mahora (FM)

Picha  kwa hisani ya FM webite
Je wajua kwamba FM-group wana product zaidi ya perfumes/cognes?  Endelea tembelea kwani tutawaleteeni bidhaa maridhawa za FM zilizokidhi European Standards  kwa reasonable price.

Tuesday, 17 April 2012

Real leather, durable and Comfortable. Coming soon!!

Jk style(Real leather, light and comfortable)
Mzigo utaingia na bidhaa kama hizo pia kwa akina baba. Endelea tembelea blog kwani pamoja na fm perfumes, design perfumes/cognes pia zitakuwepo  kwa reasonable price tokana na ombi la wengi . Kumbuka, hakuna mchina hapa kwani bidhaa zote zinatoka kwa mama (UK) na zimekidhi European standards.
Monday, 16 April 2012

Perfumes/Cognes Mahotelini

Kwa mujibu wa mtandao wa Rosewood hotels and Resorts, ambazo zimetawanyika America/Canada, Carribean/Atlantic, Midle East na Mexicao, mteja huhitaji kutembea na perfume/colognes kama unapanga kwenye hotel/resort zao. It’s just the matter of ringing the bell na mhudumu maalum mtaaluma wa mambo hayo atakuja na trey yenye perfume/colognes kwa ajili yako ujipilizie ama iwe ya jioni/kazini au mtoko! Hongera rosewood hotel kwa kuwajali wateja, sijajua gharama zao ni vp maana mambo hayo!!!! Inawezekana pia hii ni kwa sababu za liquids rules at airports. Na hakika hii  ni sensible approach maana airports na liquids ni issue siku hizi.
(Picha kwa hisani ya yahoo)