Friday, 6 January 2012

LOVE AT FIRST SCENT HASWAAA, UTANUKIAJEE?

Perfumistaz new arrival ndani ya dar. FM perfumes mpya za ukweli na bei nafuu ziko mujini. Hili ni toleo jipya kabisa na maalum kwa ajili ya kufungulia mwaka. Kama wewe ni mpenzi wa scent zile zile kila mwaka hii inakuhusu, kwani kuna collection ya kila aina ku-suit kila mtu chaguo ni lako. 

Jaribu moja kati ya 100s FM scents kwa kupiga simu namba 0716 199 724 kwa 100% money back guarantee kama yasemwayo hayapo. (BEI NAFUU SANA sio lazima ulipe laki au zaidi kunukia vizuri, TOP QUALITY zinakaa kwenye nguo/mwilini kwa muda mrefu kulinganisha na high street designers brand names)

BAADHI YA LUXURY COLLECTION KWA WANAWAKE ELEGANT

FM 297

FM 313

FM 296

FM 318

FM 294

FM 192

FM 317

FM 309

FM 306

FM 311

FM 321

FM 322

NAADHI YA LUXURY COLLECTION KWA WANAUME SMART

FM 302

FM 324

FM 199




KUNA CLASSIC COLLECTION ZA KILA SCENT KUKIDHI MAHITAJI YAKO KWA AJILI WANAWAKE  NA WANAUME HUWEZI KOSA YAKO IWE KWA KUTUMIA JIONI, KAZINI AU KWA MATUMIZI YA KILA SIKU

DEMAND NI KUBWA HIVYO WAHI YAKO SASA KABLA HAZIJAISHA.

KUMBUKA FM PERFUMES HAZIPATIKANI MADUKANI KUNUNUA AU KUJARIBU SAMPLE PIGA SIMU NAMBA 0716 199724- DAR NA UTALETEWA MPAKA MLANGONI BILA KUSAHAU MIKOANI. 

WA ARUSHA NA MOSHI PIGA SIMU NAMBA 07581159944 

ENDELEA KUWEPO KWANI PAMOJA NA MAMBO MENGINE KUTAKUWA NA REVIEW YA FM PERFUMES MOJA MOJA KILA SIKU 

SIKU NJENA

Thursday, 5 January 2012

MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA

Habari za mwaka mpya perfumistaz. Samahani sana kwa kutokua na jipya humu mjengoni kwa wiki chache zilizopita majukumu yalikula kwangu kidogo. Ila nimerudi na kuahidi kuleta vitu vipya na vyenye manufaa zaidi hasa ukizingatia huu ni mwanzo wa mwaka.

 Kama una lolote la kuchangia kuhusu usafi na manukato au linginelo la kuelimishana katika lifestyle unakaribishwa kushare nasi kwa kutuma chochote utachopenda kuwekwa hapa kupitia www.imafmtz@gmail.com bila kubaniwa ili mradi tu isiwe kitu kitachomdhuru mtu mwingine kwa njia yoyote.

Asanteni sana kwa kutembelea trendy perfumes tz kwani bila nyie haiwezekani.  

karibu na enjoy.


Sunday, 1 January 2012

HAPPY NEW YEAR PERFUMISTAS


TRENDY PERFUMES TZ INAWATAKIA WOTE HERI YA MWAKA MPYA WENYE AFYA NJEMA, FURAHA NA MAFANIKIO.