Hii ni dressing table ya perfumista mwingine Cleopatra. Inapendeza eeee.
Asante Cleopatra kwa kushare dressing table yako nasi.
Tunasubiri na yako mdau. Post zote zitawekwa hakuna kigezo cha kuzingatia mradi tu kuwe na perfume kwenye dressing table yako. Tutafurahijeeee. Imekugusa, acha maoni yako hapo chini.
Nyingine zinakujaa, usizikose
No comments:
Post a Comment