Monday 17 October 2011

Becoming a Perfumista



Inasemekana kuwa watu wapoamua kuwa involved na perfume, wanakuwa wamepitia stages fulani. Kama unatick baadhi au stages zote hapa chini wewe ni Perfumista.

Stage ya kwanza: Strong interest
  1. Unakuwa unapenda perfumes kiasi cha kuwa na chupa tofauti, na unafatilia perfume pya kwa muda.
  2. Unapenda kunusa perfume yoyote iliyopo dukani.
  3. Unapenda kunusa chupa za perfume, au perfume zilizopo kwenye dressing table za watu na unapenda kusifia marafiki au wafanyakazi wenzako ni jinsi gain wananukia.
unapenda sana perfume kiasi ambacho unatamani kuwa na signature scent.




Stage ya pili: Beginner perfume mania
  1. Unapenda kujaribu perfume tofauti kila wakati.
  2. Unajieleza kwa kutumia scents.

Stage ya tatu: Fully perume mania
  1. Unaweza kulist majina ya perfume za brand name tofauti kutoka kichwani
  2. unaweza kutofautisha scents notes
  3. unafahamu ni scenst gani inanukia viziri kwako, na unaelewa ni zipi kati ya floral scents au oriental scents inakufaa zaidi au hata kuwa surprised kwamba umeanza kupenda scents ambazo ulikuwa hutaki kujaribu




Stage ya nne na ya mwisho: Perfume expert
  1. Una collection ya perfumes ambazo zinakufaa hasa na kueleza wewe ni mtu wa aina gani
  2. Unapenda kujaribu perfume mpya lakini unachagua ile inayokufaa tu
  3. unapenda kusoma maoni ya watu kuhusu perfume lakini mwisho wa yote unafanya maamuzi mwenyewe.

Ukweli ni kwamba, huwezi kupenda au kutumia perfume moja tu, kama vile ambavyo huwezi kuvaa nguo moja kila siku. Kwa hiyo kama ilivyo kwenye nguo, ni vizuri kuwa na perfume tofauti hata kama dressing table yako haitoshi, as long as ni pefume zinazokufaa, kuelezea personality yako na zaidi ya yote zinakufanya ujisikie vivuri unapozitumia.




Perfume ni sehemu muhimu katika kukamilisha mavazi ya mtu. So jaribu scents tofauti utafurahia experience.

Karibu kutoa maoni yako kuhusu experience yako na matumizi ya perfume. Je unafikiri wewe ni perfumista au unaelekea kwenye uperfumista. Share nasi ni perfume gani zipo kwenye dressing table yako kwa kutuma picha zako imafmtz@gmail.com.

Asante kwa kutembelea trendy perfumes tz na karibu tena.


1 comment:

  1. Good stuff! Jamani hata mimi naona hizo stages zimenigusa kwani kila nionapo perfume nataka kuinusa.

    ReplyDelete