Thursday, 20 October 2011

Je, muonekano wa chupa ya perfume una influence choice yako

Perfumistas, unapochagua perfumu unaangalia uzuri wa chupa au harufu na ubora wa kilichomo ndani.




Juu ni extravagant packaging

Hii ni simple packaging

Kama unalolote kuhusiana na hili au linginelo unakaribishwa kushare nasi either kupitia link ya comment au tuma email yako kupitia imafmtz@gmail.com Pia unakaribishwa kutuma picha za favorite perfumes zako au ni zipi unatumia sasa au uliwahi kutumia zamazo.

Usisahau kupitia older post in case hujapitia kupata yanayojili katika ulimwengu wa manukato.

karibu tena

No comments:

Post a Comment