Monday, 24 October 2011

TIPS: PERFUME ITANUKIAJEEE KWENYE NGOZI MUDA MREFU

Perfume inaevaporate kwa urahisi kwenye ngozi kavu. Kwa hiyo njia rahisi kufanya perfume yako ikae mwilini  kwa muda mrefu ni kupaka lotion au cream nzito kumoisturise ngozi yako. Hasa zile sehemu unazopulizia perfume yako (viganja vya mikono na shingoni). Jojoba oil au petroleum jelly kama Vaseline pia zinafaa.



Usikose tips zinazokuja

No comments:

Post a Comment