Saturday, 24 December 2011

MERRY CHRISTMAS
TRENDY PERFUMES TZ INAWATAKIAWOTE  HERI YA CHRISTMAS. MUNGU AWE PAMOJA NANYI KATIKA KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU, HASA KWA WALE WALIOATHIRIKA NA MAFURIKO KWA NJIA MOJA AMA NYINGINE.

SIKUKUU NJEMA NA MAANDALIZI MEMA YA KUFUNGA MWAKA 2011

Thursday, 22 December 2011

MSHINDI WA ZAWADI YA XMAS


TRENDY PERFUMES TZ BLOG INAYOFURAHA KUTANGAZA KWAMBA ZAWADI YA CHRISTMAS KAMA ISHARA YA UPENDO KWA WADAU WETU WOTE IMETOLEWA KWA MARIAM NA SALMA.

TUMEAMUA KUTOA ZAWADI KWA PERFUMISTAS WOTE WAWILI KWANI NDIO PEKEE WALIOSHIKI DRAW .

HONGERA MARIAM NA SALMA.


MTAPOKEA SIMU LEO (KUPITIA NAMBA MLIZOTOA) ILI MUWEZE ELEKEZWA NI WAPI PA KWENDA CHAGUA ZAWADI YA CHUPA MOJA YA PERFUME YA CHAGUO LAKO TOKA KWENYE PERFUME ZETU ZA FM COLLECTION.

TRENDY PERFUME TZ INAWATAKIA WADAU WETU WOTE MAANDALIZI MEMA YA XMAS NA MWAKA MPYA.

Wednesday, 21 December 2011

POLE KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO DAR

_3••Cleo™.jpg


TRENDY PERFUMES TZ INATOA POLE KWA WALE WOTE WALIOATHIRIKA NA MAFURIKO. TUNAMUOMBA MUNGU AEPUSHE MAAFA ZAIDI NA KUWAFARIJI WALIOPOTEZA NDUGU, JAMAA, MARAFIKI NA MALI ZAO IKIWEMO KUKOSA MAKADHI NA CHAKULA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE, AMEN.

ZAWADI YA PERFUME INATOLEWA KESHO

PERFUMISTAS KUINGIA KWENYE DRAW YA KUSHINDA ZAWADI YA XMAS NA KUWAKILSHA WADAU WA TRENDY PERFUMES TZ MWISHO NI LEO. KESHO MSHINDI ATAWEKWA HAPA NA KUPEWA MAELEZO YOTE YA JINSI YA KUPATA ZAWADI YAKE KABLA YA XMAS YENYEWE.

BADO HAUJACHELEWA. TOA MAONI YAKO SASA KUINGIA. UNAWEZA KUWA WEWE.TOKA TRENDY PERFUMES TZ. TUNAWAPENDA WOTE

Tuesday, 20 December 2011

2012 STATEMENT HANDBAGS ZINAUZWA DAR

JIPATIE POCHI YAKO ILIYO KWENYE TRENDY 2012 KATI YA HIZI STATEMENT BAGS. KUMBUKA POCHI HIZI NI INGIZO JIPYA TAYARI KWA MWAKA MPYA NA NI GO ANYWHERE BAG, ZITAKAMILISHA MUONEKANO WAKO POPOTE IWE KAZINI, MTOKO JIONI AU MATEMBEZI YA KAWAIDA TU . HAHIKA UTAONEKANA SMART WAKATI WOTE. KUNA RANGI ZA KILA AINA BILA KUSAHAU MNYAMA. 


JUU NI BAADHI TU. CLUTCHES NAZO ZIPO. WAHI YAKO LEO KABLA HAZIJAISHA.  KUONA ZAIDI AU KUNUNUA WASILIANA NA MIRIAM AU GRACE
KUPITIA SIMU NAMBA 0782636363/ 0714545454
KARIBUNI

Sunday, 18 December 2011

Trendy Perfumes Tz kutoa perfume kama zawadi ya xmas kwa wadau

Imebaki wiki moja kabla hatujasherehekea sikukuu ya xmas. kama ilivyokawaida huu ni wakati wa kutoa na kupokea zawadi toka kwa ndugu, jamaa na marafiki.
Trendy Perfumes Tz inazawadi ya chupa moja ya perfume ya kutoa kwa mdau atakaebahatika kushinda na kuwakilisha wadau wote wapendwa wa blog hii ya perfumistas.

KUINGIA KWENYE SHINDANO:
Toa comment yako kwenye poll ya leo. Mshindi atachaguliwa randomly. Ni vizuri kutoa jina ili iwe rahisi kumtapata mshindi kwani kila mtu akiwa anonymous itakuwa vigumu kumpatia muhusika zawadi yake. Ni viruri pia kuacha namba ya simu au email ili ukishinda ujulishwe mara moja ni wapi uende kuchukua zawadi yako (Contact zako hazitarushwa kwenye blog).

Trendy Perfumes tz inajali na kushukuru wadau wote wanaotembelea blog ndani na nje ya tanzania, lakini kwa sababu zisizoweza zuilika shindano liko wazi kwa wadau wa tanzania pekee kwa sasa. Tunaangalia jinsi ya kushirikisha wadau wote kwa wakati ujao kwani tunathamini wadau wote bila ubaguzi.

WEEKEND POLL YENYEWE NDIO HII:

JE, KAMA SANTA ANGEKUACHIA ZAWADI YA PERFUME CHINI YA MTI WAKO WA CHRISTMAS, BILA KUJALI BEI AU KIKWAZO CHOCHOTE, UNGEMWAMBIA AKUACHIE PERFUME GANI? NA KWA NINI?
Mfano kwa sababu inanukia vizuri, iko kwenye nzuri, ukiitumia inakufanya uwe na furaha au confidence, au ukiitumia unasifiwa sana au ni bei nafuu au sababu nyingine yoyote uliyonayo.

SHINDANO MWISHO NI JUMATANO USIKU. NA MSINDI ATATANGAZWA HAPA  ALHAMIS

GOOD LUCK NA WEEK END NJEMA

Friday, 16 December 2011

UNAJUA UHUSIANO KATI YA MANUKATO NA UNADHIFU, UKWELI NDIO HUU


Ni muhimu kwa kila mtu kujipenda. kujipenda ni zaidi ya kuvaa au kutumia vitu expensive au vitu vinavyotumiwa na watu maarufu. Kujipenda ni kujitahidi kujitunza (physically and mentally) kadri ya uwezo wako ikiwemo kula vivuri, kufanya mazoezi, kupata muda wa kupumzika na bila kusaha hands on katika swala zima la kuboresha muonekano wako. Hapa ndipo mambo ya usafi wa mwili na mavazi unahusu.  Perfume ina nafasi kubwa sana katika kukamilisha utanashati wa mtu wa jinsia na umri wowote. Fikiria unapishana na mtu anaeonekana smart kwa mbali na anatick kila box katika muoneka lakini akikupita anaacha strong body odour. Unafikiri ataacha impression gani kwako?


kutumia perfume Perfumes kunaongeza haiba(personality) ya mtumiaji kwa kiasi kikubwa. Manukato yanaeleza mengi kuhusu taste na mood ya mtu. Bila kusahau kuonyesha style yako. Manukato yanamfanya mtumiaji avutie zaidi kwani yanaongeza unadhifu kwa sababu ni kama kivazi. Kamilisha mavazi yako kila siku kwa kujipulizia marashi tofauti kulingana na wakati,occasion na mood, hakika utajisikia vizuri siku nzima hata kama uko tu nyumbani jinukilishe. Kama wewe sio mtu wa manukato jaribu sasa kabla mwaka haujaisha uone difference itakayotokea katika muonekano wako mwaka mpya.

Ufanye mwaka 2012 ni mwaka wa Look good,feel good.    

                  


Wasiliana nasi upate perfume nzuri kuliko zote kwako kutoka kwenye zaidi ya 100 scents classic na luxury collection FM perfume kwa bei nafuu sana. Ukiitumia FM perfumes hautaacha tena kwani ubora wake ni value for money na hakuna better quality perfume so far zaidi ya majina. (wateja wetu watakuwa wanajua ninachoongelea, na jisikie free kushare experience kwa kuacha comment)


Juu ni baadhi tu ya perfume zilizopo za kike na kiume


Kununua piga simu namba 0716199724 au email imafmtz@gmail.com kumbuka nunua moja upate ya pili nusu price mwisho ni leo. Usiikose offer hii.


Maandalizi mema ya xmas na mwaka mpya        

Wednesday, 14 December 2011

FM perfume review

Kuna chaguo la kila mtu kwa kila wakati kwenye FM Perfumes classic collection.

Chic light fragrances  kwa ajili ya shughuli au fresh citrus scents kwa Mchana bila kusahau romantic floral kama unaenda kwenye date na sophisticated na mysterious scents kwa matumizi ya mtoko jioni.


FM 21 (30ml) Floral, timeless. Inanukia kama chanel no.5
Notes: Dreamy scent of rose, jasmine and tlang-ylang flower.


 
 


FM 32 (30ml) oriental, extravagant.inanukia kama Angel Thierry Muglur
Notes: Intriguing and ambiguous aroma of mandarin, blackberry and mango with the sweetness of honey and chocolate.
FM 262 (30ml) Floral, Timeless. Inanukia kama eternity Celvin Clein

Bila kusahau neck, wrists, elbow bends na neckline ndio sehemu nzuri zaidi ambazo ukipulizia perfume yako itasikika vizuri. WHY?
Kwa sababu hizi ndizo sehemu ambazo damu inazunguka kwa kasi kwa hiyo perfume inakuwa stimulated kufungua zile notes nzuri zilizounda manukato.

Zimebaki chache wahi yako leo. Toa order yako kwa kupiga simu namba 0716199724 au email imafmtz@gmail.com kwa huduma ya haraka

MUHIMU: ILE OFFER YA NUNUA MOJA UPATE YA PILI NUSU BEI MWISHO IJUMAA YA WEEK HII.
USIIKOSE IT'S WORTH IT.

REVIEW INAENDELEA

Monday, 12 December 2011

SPEACIAL GIFT KWA AJILI YA XMAS BADO ZIPO. KAMA HAUJAPATA YAKO WAHI SASA SIKU ZIMEKWISHA

PERFUME MAKE A PERFECT GIFT FOR ANY OCCASION
PELEKA ZAWADI YAKO KWENYE ELEGANT BAG KAMA HIZI, WAHI NI CHACHE ZIMEBAKI

TUNA SCENTS NYINGI TOFAUTI KUKUWEZESHA KUPATA UIPENDAYO. UTAPATA KUJARIBU SCENT ZOTE ZILIZOPO KABLA HAUJACHAGUA INAYOKUFAA. KWA HIYO HAKUNA KUCHAKACHULIWA. CHAGUO NI LAKO.

WAHI SASA ZIMEBAKI CHACHE.

WASILIANA NASI LEO KUPITIA SIMU NAMBA 0716199724 AU EMAIL imafmtz@gmail.com KUTOA ORDER YAKO

MAANDALI MEMA YA CHRISTMAS

Thursday, 8 December 2011

HAYA VILE VIATU VYA UKWELI VIKO MUJINI, WAHI VYAKO LEO UPENDEZE


WENYE MIGUU YAO, MNYAMA KATULIAA EEE. CHEZEYA FASHIONISTA HUYU KESHA WAHI VYAKE. 
 
VINGINE HIVI VISHACHUKULIWA NA WENYEWE


KAMA HUPENDI JINYANYUA HIVI VIPO, PATRA MGUU UMEMTENDEAJE MNYAMA HAKI

UDDAH NAE HAKUTAKA PITWA, ETI ATATOKAJE XMAS NA MWAKAMPYA HUU

NAWEWE NJOO UCHUKUE VYAKO KABLA HAVIJAISHA UTOKE TRENDY CHRISTMAS NA MWAKA MPYA. VIPO VINGII, KAMA UNAVYOONA KWENYE BANNER HAPO JUU AU BONYEZA SNEAK PICS ZA VIATU VYA UKWELI UONE BAADHI YA COLLECTION ILIYOPO KWENYE STOCK.

PIGA SIMU: 078 763 8958 KUNUNUA AU KWA MAELEZO ZAIDI (HUDUMA NI NZURI SANA)
NA MIKOANI VINAFIKA WEWE TOA ODA YAKO TU.

KARIBU

Tuesday, 6 December 2011

OFFER NYINGINE YA PUNGUZO LA BEI YA PERFUME SPECIAL KWA AJILI YA CHRISTMAS


CHRISTMAS IMEANZA MAPEMA TRENDY PERFUMES TZ. MWAKA HUU KILA MTU ATAPATA ZAWADI YAKE.

MAANDALIZI MEMA

PERFUME ZOTE ZINAPATIKANA DALLAS SHOP SINZA KIJIWENI, AU WAWEZA PIGA SIMU AU EMAIL ORDER YAKO UKALETEWA MPAKA MLANGONI.


SIMU: 0716199724

KARIBU

IPENDE SEHEMU UNAYOPUNGUZIA UCHOVUKITANDA KISAFI KIMEPENDEZA EEEH.

NAWE WAWEZA PENDEZESHA CHAKO.
BEDDINGS ZA UKWELI KAMA HIZI NA NYINGINE NYINGI ZINAPATIKANA BONGO. NITAKUJUZA NI WAPI UPATA YAKO SOON.

Monday, 5 December 2011

MDHAMINIIII

Wenye miguu yao kaeni mkao wa kula. Kuanzia mnyama, nyoka nyoka, block heels, colour blocking vyoote utapatiwa kwa ajili ya kusherehekea chrismas na mwaka mpya kwa style.
Usipitwe na wakati, ukihitaji kutoka na colour blocking hizi au trendy nyingine ambazo ni must have 2012 endelea kuwepo.

SWALI LA KIPINDI CHA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA


je unategemea/unapendelea kutoa au kupokea perfume kama zawadi ya christmas au mwaka mpya mwezi huu?

Kama ndio, ni perfume gani ungependa kutoa au kupokea?

mimi nina zawadi zaidi ya kumi za kuwapa ndugu, jamaa na marafiki kabla ya christmas na mwaka mpya na zote ni perfume ambazo zilikuwa kwenye wish list ya walengwa.

Na ofcourse, binafsi nategemea kupata perfume nyingine chrismas hii kwani huu ndio ugonjwa wangu, sijawahi kusema no kwenye perfume.

Haya tujuze na wewe umeandaa nini cha kuwapa wapendwa wako, unakaribishwa kushare nasi kwa kuacha comment yako.

Siku njema.

Friday, 2 December 2011

UKISIKIA HII UJUE MWAKA UMEISHA

WAKATI UNAENDELEA NA MAANDALIZI YA CHRISTMAS USISAHAU KUFIKIRIA NEW YEAR'S RESOLUTION.
KWA KUWA HUU NI WAKATI WA JOY, BURUDIKA NA XMAS CAROL


WEEKEND NJEMA

Thursday, 1 December 2011

KWA WANAOJUA UMUHIMU WA VITU QUALITY NA ORIGINAL HII INAWAHUSU, HAKUNA KUCHAKACHULIWA.

PATA BIDHAA MBALIMBALI NA ORIGINAL KUTOKA UK NA JAPAN KWA MATUMIZI YAKO YA KILA SIKU.

KWA VITU KAMA HIZI ENERGY SERVING BULBS NA VINGINE VINGI KAMA HIVI SASA VINAPATIKANA TANZANIA NZIMA KWA BEI POA. 

KWA MAELEZO ZAIDI WATEMBELEE HUMU http://www.shilingishop.blogspot.com/ 

KUTUMIA MCHINA TENA BASI!

Chupa yako ya perfume inategemewa kuisha baada ya muda gani?

Samahani perfumistaz kwa kutoku-update siku mbili tatu zilizopita, majukumu yalikula kwangu kidogo ila sasa nimerudi kuendeleza libeneke kama kawa.

Nimekuja na interesting topic kuhusu muda unaotegemewa chupa ya perfume kuisha. Hata hivyo inategemea unajipulizia spray ngapi kila wakati unapotumia perfume. Pia unaperfume ngapi katika collection yako.


FM 199 100ml for him


Kwa mfano mimi ninapotoka kwenda kazini natumia spray 4. Moja kwenye kila kiganja cha mkono jumla 2 na moja kila upande wa shingo jumla 2. kumbuka hii ni ile kupress  na kuachia mara moja (psy) sio ile kupress na kuhold (psyyyyyyyyyy). Nawe pia utakuwa na aina ya upuliziaja wa perfume unaopendelea.

Ukweli ni kwamba kama unaspray perfume kawaida kwenye chupa ya ml 50 kunatakiwa kuwe na wastani wa sprays 735 na 1470 kwenye chupa yenye 100ml.


FM 311 50ml for her

Kwa kuwa kuna siku 365 kwenye mwaka, angalia guideline ifuatayo kujua collection yako ya perfume itachukua muda gani kuisha.

Size ya chupa:    Idadi ya spray utumiazo kwa wakati mmojaSiku zitakazochukua perfume kuisha

50ml                                                   3                                                         245

50ml                                                   5                                                         147

50ml                                                 10                                                          73

100ml                                                 3                                                         490

100ml                                                 5                                                         294

100ml                                               10                                                        147

Kumbuka hii ni kama unatumia perfume mara moja tu kwa siku, obviously kama unatumia asubuhi na jioni siku zitapungua. na kama una tumia perfume tofauti kila siku siku zitazidi.

Je, ukweli huu umekushangaza? Hii ni sababu nyingine kwa nini kila mtu atumie perfume kwani ni essential kwa matumizi ya kila siku kwa kila mtu smart na zinadumu kwa muda mrefu, what a value for money product to treat yourself, family and friends.

Kama bado, wahi yako sasa stock mpya imeingia. Kuna scent tofauti nyingi kwa hiyo kuna moja kwa kila mtu. wasiliana nasi kama kawaida kupata yako. Bila kusahau wa mikoa ukitoa order leo kesho yake inakuwa delivered.

simu 0716 199 724 au email: imafmtz@gmail.com

Habari nyingi ya kusisimua kuhusu matumizi ya manukato inakuja, usiikose.

Friday, 25 November 2011

WEEKEND POLL

Kuwa free kujibu maswali matatu yafuatayo ya poll yetu ya week hii, its just for fun.

1. je, leo umetumia perfume gani?

2. Una jumla ya perfume ngapi kwenye dressing table yako?

3. Ni perfume gani hauna lakini unatamani sana kuwa nayo?

Mimi nimetumia hivi
Federico mahora(FM) unperfumed deodorant, FM 142 Eau de perfume na FM 147 body lotion, full layering. Have a nice weekend perfumistaaz. God bless you.