Wenye miguu yao kaeni mkao wa kula. Kuanzia mnyama, nyoka nyoka, block heels, colour blocking vyoote utapatiwa kwa ajili ya kusherehekea chrismas na mwaka mpya kwa style.
Usipitwe na wakati, ukihitaji kutoka na colour blocking hizi au trendy nyingine ambazo ni must have 2012 endelea kuwepo.
No comments:
Post a Comment