Friday, 2 December 2011

UKISIKIA HII UJUE MWAKA UMEISHA

WAKATI UNAENDELEA NA MAANDALIZI YA CHRISTMAS USISAHAU KUFIKIRIA NEW YEAR'S RESOLUTION.
KWA KUWA HUU NI WAKATI WA JOY, BURUDIKA NA XMAS CAROL


WEEKEND NJEMA

Thursday, 1 December 2011

KWA WANAOJUA UMUHIMU WA VITU QUALITY NA ORIGINAL HII INAWAHUSU, HAKUNA KUCHAKACHULIWA.

PATA BIDHAA MBALIMBALI NA ORIGINAL KUTOKA UK NA JAPAN KWA MATUMIZI YAKO YA KILA SIKU.

KWA VITU KAMA HIZI ENERGY SERVING BULBS NA VINGINE VINGI KAMA HIVI SASA VINAPATIKANA TANZANIA NZIMA KWA BEI POA. 

KWA MAELEZO ZAIDI WATEMBELEE HUMU http://www.shilingishop.blogspot.com/ 

KUTUMIA MCHINA TENA BASI!

Chupa yako ya perfume inategemewa kuisha baada ya muda gani?

Samahani perfumistaz kwa kutoku-update siku mbili tatu zilizopita, majukumu yalikula kwangu kidogo ila sasa nimerudi kuendeleza libeneke kama kawa.

Nimekuja na interesting topic kuhusu muda unaotegemewa chupa ya perfume kuisha. Hata hivyo inategemea unajipulizia spray ngapi kila wakati unapotumia perfume. Pia unaperfume ngapi katika collection yako.


FM 199 100ml for him


Kwa mfano mimi ninapotoka kwenda kazini natumia spray 4. Moja kwenye kila kiganja cha mkono jumla 2 na moja kila upande wa shingo jumla 2. kumbuka hii ni ile kupress  na kuachia mara moja (psy) sio ile kupress na kuhold (psyyyyyyyyyy). Nawe pia utakuwa na aina ya upuliziaja wa perfume unaopendelea.

Ukweli ni kwamba kama unaspray perfume kawaida kwenye chupa ya ml 50 kunatakiwa kuwe na wastani wa sprays 735 na 1470 kwenye chupa yenye 100ml.


FM 311 50ml for her

Kwa kuwa kuna siku 365 kwenye mwaka, angalia guideline ifuatayo kujua collection yako ya perfume itachukua muda gani kuisha.

Size ya chupa:    Idadi ya spray utumiazo kwa wakati mmojaSiku zitakazochukua perfume kuisha

50ml                                                   3                                                         245

50ml                                                   5                                                         147

50ml                                                 10                                                          73

100ml                                                 3                                                         490

100ml                                                 5                                                         294

100ml                                               10                                                        147

Kumbuka hii ni kama unatumia perfume mara moja tu kwa siku, obviously kama unatumia asubuhi na jioni siku zitapungua. na kama una tumia perfume tofauti kila siku siku zitazidi.

Je, ukweli huu umekushangaza? Hii ni sababu nyingine kwa nini kila mtu atumie perfume kwani ni essential kwa matumizi ya kila siku kwa kila mtu smart na zinadumu kwa muda mrefu, what a value for money product to treat yourself, family and friends.

Kama bado, wahi yako sasa stock mpya imeingia. Kuna scent tofauti nyingi kwa hiyo kuna moja kwa kila mtu. wasiliana nasi kama kawaida kupata yako. Bila kusahau wa mikoa ukitoa order leo kesho yake inakuwa delivered.

simu 0716 199 724 au email: imafmtz@gmail.com

Habari nyingi ya kusisimua kuhusu matumizi ya manukato inakuja, usiikose.