Saturday, 29 October 2011

KWENYE DRESSING TABLE YA PERFUMISTA WA KIUME, INAPENDEZAAAA

Perfumistas sio kwa ladies tu hata gentlemen inawahusu. Show who you are!



Nimebambwa na hii dressing table for him ya mdau kutoka mikocheni, ana perfume za kila occasion na mood. Raha eeeh,
Asante mdau kwa kushare dressing table yako na perfumistas. Na wewe tuma yako kupitia imafmtz@gmail.com

GENTLEMEN HII INAWAHUSU

Men treat yourself, ladied treat the man in your life. Keep smart


Jeans Shop

Chagua scent uipendayo kulingana na mood/occasion kati ya hizi au familia moja ya brand uipendayo:













Sporty- FM 324 (Kwa wale walio active, hii itakuongezea nguvu)













Business- FM 302 ( Perfect kwa kazini)


Elegant FM199 (Utanukia kitanashati muda wote)














Determined FM 327 (Strong characters? hii ndio yenyewe)













Liberated FM 325 (Hii ni kwa wanaume waopenda kwenda na fashion, morden)

Hizi ni chache kuna nyingine nyingi tu out there. Tafuta ya kwako uonyeshe personality yako.

Friday, 28 October 2011

FRAGRANCE NOTES

All perfumes worldwide regardless brand name come in either Floral, Citrus, Oriental, Wood, Chypre or Fougere family. Remember, perfume is like your second skin so its important for to know what exactly these families mean in order to help you choose the right scent for you.

So what's FLORAL FAMILY fragrances

FLORAL (Emotions smell like flowers....)

Floral fragrances are most popular and diverse. Floral family is a unique group which features not only various combinations but also intensity of the smell.

Compositions of Jasmine, Rose, Lilly of valley, Ylang ylang flower, turberose, iris, Violet and gardenia; create real flower bouquets suitable for most women.

Floral family fragrances are divided into five sub-families: Froal-fruit, Floral-oriental, Floral-water, Floral-green and Floral-aldehyde. This means that the fragrance contains floral compositions and something else to make a unique scent. (So, there is lots for every one to choose their ideal scent from)

Hii chart hapa chini ni summary tu ya description ya scents za floral family kulingana na perfumes za ukweli toka FM. Na zote zinapatikana Trendy Perfumes Tz. Floral family fragrances zote ni za ladies.



The new perfume Gucci Guility for her is an example of Floral-oriental fragrances and so is FM 317 below



Parisienne perfume for her by Yves Saint Laurent is an example of Floral-wood fragrance and so is FM 320 below



Oriental family fragrances next-usikose. Perfume ni kama mavazi, pata style yako.

TOP 10 LUXURY PERFUMES FOR HER KUTOKA TRENDY PERFUMES TZ - 3

PERFUME NNE ZA MWISHO KWENYE TOP 10 FOR HER














FM 298 50 ML EAU DE PERFUME SPRAY














FM 286 50 ML EAU DE PERFUME SPRAY












FM 147 50 ML EAU DE PERFUME SPRAY












FM 281 50ML EAU DE PERFUME SPRAY

No excuse, kuna choice kumsuit kila mtu kwa kila occasion. Tembelea older post kuhusu choose your perfume for a purpose kwa maelezo zaidi. Utanukiajeee. 

Thursday, 27 October 2011

MANUKATO YA CASUAL WEAR

KUNUKIA VIZURI MUDA WOTE NI MUHIMU, LAKINI KUMBUKA KUTUMIA SCENT INAYOENDANA NA MOOD NA OCCASION PERFUMISTAS



PERFUMISTA HAPO JUU ANASEMA YEYE ANATUMIA FRESH FRAGRANCE AKIWA KWENYE CASUAL WEAR AU EASY DAY NYUMBANI

ANAPENDELEA FM 298 (SO FRESH) KAMA UNAPENDA FLORA BY GUCCI HII ITAKUBAMBA ZAIDI

ASANTE PERFUMISTAS KWA KUSHARE EXPERIENCE NASI, TUTUMIE NAWE YAKO KUPITIA imafmtz@gmail.com

Wednesday, 26 October 2011

MANUKATO NA MAVAZI YA KUTOKEA JIONI

UNAWEZA TOKA NA MAPIGO KAMA HAYA




KUMALIZIA NA KITU FM 294 50ML EAU DE PERFUME (FLORAL) KUTAKUONGEZEA MVUTO ZAIDI NA KUJISIA SO SEXY KATIKA MTOKO WAKO

ENJOY


 

MANUKATO NA MAVAZI YA KAZINI

UNAWEZA KUTOKA NA MOJA KATI YA VIVAZI VINAVYOFANANA NA HIVI KULINGANA NA HALI YA HEWA AU UNAVYOPENDELEA








HUU NI MFANO TU WA KIATU COMFORTABLE NA SMART KINACHOENDENA NA VIVAZI VYA KAZINI, WEWE TINGA CHAKO

UNAWEZA ACCESSORISE NA KAPOCHI KAMA HAKA

KAMILISHA SEHEMU YA MAVAZI YAKO KWA KUJIPULIZIA FM 321 100ML EAU DE PERFUME SPRAY (FLORAL) HII NI MOJA YA PERFUME MAALUM KWA AJILI YA KUTUMIA KAZINI AU MIKUTANO YA KIBIASHARA. ITAKUFANYA UNUKIE KIPROFESSIONAL ZAIDI NA KUKUONGEZEA CONFIDENCE KATIKA KAZI YAKO.

KAMA UNA MAONI YOYOTE KUHUSIANA NA HILI AU JINGINELO ACHA MAONI YAKO

Tuesday, 25 October 2011

MANUKATO NA MAVAZI

Kama ilivyo kwa accessories nyingine kama viatu, hereni na vinginevyo kuvaliwa kuendena na mavazi. Harufu za perfume pia zinategemea na mavazi uvaayo. Ndio maana kuna scent za kutumia kwenye mavazi ya kazini, jioni na zipo hata za kwendea gym au za kupumzikia tu nyumbani.

Ni scent gani inaendena na vivazi gani? Utayapata yote haya pamoja na vivazi vyenyewe vilivyoko kwenye trendy hapa hapa.

Stay tuned.

TOP 10 LUXURY PERFUMES FOR HER KUTOKA TRENDY PERFUMES TZ - 2

NO.4 FM 313 50ML EAU DE PERFUME (hii itakufanya unukie kama millionare, chaguo zuri kwa wale wapenda chupa nzuri)

NO.5 FM 297 50ML EAU DE PERFUME (inanukia fresh, nzuri eee kwa kupambia dressing table yako)


NO.6 FM 142 50ML EAU DE PERFUME SPRAY (hii ni kwa wale wanaopenda manukato yanayonukiaaaa, au kutumia kwenye mtoko)

BADO INAENDELEA, KARIBU TENA UONE NI ZIPI ZINAFUATIA

Monday, 24 October 2011

TIPS: PERFUME ITANUKIAJEEE KWENYE NGOZI MUDA MREFU

Perfume inaevaporate kwa urahisi kwenye ngozi kavu. Kwa hiyo njia rahisi kufanya perfume yako ikae mwilini  kwa muda mrefu ni kupaka lotion au cream nzito kumoisturise ngozi yako. Hasa zile sehemu unazopulizia perfume yako (viganja vya mikono na shingoni). Jojoba oil au petroleum jelly kama Vaseline pia zinafaa.



Usikose tips zinazokuja

TOP 10 LUXURY PERFUMES FOR HER KUTOKA TRENDY PERFUMES TZ

NO.1  FM 192 50ML EAU DE PERFUME SPRAY (kama wewe ni mpenzi wa GUCCI BY GUCCI ya GUCCI hii FM 192 inakuhusu na zaidi)


NO.2  FM 317 50ML EAU DE PERFUME SPRAY (umesikia kitu GUCCI GUILITY ya GUCCI jaribu hii FM 317 hautaiacha)

NO.3 FM 322 100ML EAU DE PERFUME SPRAY (hii itakubamba kama wewe ni mpenzi wa zile harufu zilizotulia kama CHANCE EAU TENDRE ya CHANEL)

INAENDELEA

KARIBU TENA UJUE NI ZIPI ZINAFUATIA NA WAPI UTAZIPATA KAMA BADO HAUJAJUA

Sunday, 23 October 2011

Utajuajee perfume inakufaa



Je wajua kuwa perfume zinaelezewa kama taswira za muziki kwa kuwa zina-notes ambazo kwa pamoja  zinaunda  harufu nzuri ya perfume.  Notes hizi  zimeundwa kwa kutumia utaalam wa mzunguko wa mvuke wa perfume.


Notes za pafume ziko tatu na zinatokea kadri muda unavyokwenda. Unapofungua chupa ya perfume unakutana na note ya kwanza (top note, immediate impression), ambayo inapelekea  note ya pili (deeper middle note) kutokea, hii ni mchanganyiko wa note tpo na base notes. Baadae note ya mwisho ambayo ndio muhimu katika harufu ya perfume inaitwa (base note) inatokea pole pole baada ya nusu saa.



Ni muhimu kuzingatia hizo notes wakati unatafuta perfume itakayonukia vizuri  katika mwili wako. Harufu uinusayo mara baada ya kufungua chupa inaweza kunukia tofauti kabisa baada ya nusu saa ya kujipulizia , hii ni kwa sababu ya mzunguko wa hizo notes za perfume na reaction yake na mwili wako. Ndio maana sio kila perfume inanukia vizuri kwa kila mtu.

 

Kama unataka kujua perfume inanukia vizuri kwenye ngozi yako, pulizia shingoni au kwenye viganja vya mikono kama tulivyoona kwenye older post, acha baada ya nusu saa, halafu jinuse. Kama unaipenda bado hiyo ndio scent yako. Na kama hainukii vizuri kama mwanzo nenda kajaribu nyingine.


Jaribio likifanya kazi, usisahau kurudi humu na kutoa maoni yako.

Karibu tena




Kwenye dressing table ya Perfumista Cleopatra, ya ukweliiiii

Hii ni dressing table ya perfumista mwingine Cleopatra. Inapendeza  eeee.

Asante Cleopatra kwa kushare dressing table yako nasi.



Tunasubiri na yako mdau. Post zote zitawekwa  hakuna kigezo cha kuzingatia mradi tu kuwe na perfume kwenye dressing table yako. Tutafurahijeeee. Imekugusa, acha maoni yako hapo chini.






Nyingine zinakujaa,  usizikose

Dressing table ya perfumista No. 1 Shamim (Zeze) wa 8020 fashions, Waoooo!

You see what I mean. Hii inasummarise topic yetu iliyopita ya becoming a perfumista. Kama ilikupita chungulia kwenye popular posts au blog archive kulia.

Asante shamim kwa kushare dressing table yako nasi. Nimeikubalije. Hii inaitwa perfume wardrobe collection.





Hii ni ya Perfumista Shamim, Je yako ina nini. Haijalishi ni za aina gani au ngapi ili mradi ni choice yako na inakufanya ujisikie vizuri that's the whole point ya kuwa na perfume ambayo ni right for you. Tafadhali tuma picha yako kupitia imafmtz@gmail.com ushee na maperfumista wenzio.

Kuwa free kutoa maoni yako, pia unaweza mrushia rafiki yako kwenye facebook au barua pepe kwa kubonyeza link zilizopochini ya post.

Asante kwa kupitia na endelea kuwepo more interesting stuff ziko njiani

Show your best side

Onyesha your best side kwa kuchagua moja kati ya FM scents zaidi ya 150 kutoka trendy perfumes tz 




Wasiliana nasi kupitia 00255716199724 au email imafmtz@gmail kwa maelezo zaidi na huduma bora

kanibu