Friday, 21 October 2011

Ukweli kuhusu pheromones perfumes

Nimepata email nyingi kutoka kwa perfumista wakitaka kujua more kuhusu Pheromones. so stay tuned kwa ukweli kuhusu Pheromones. Inafanya kazi.


 

Pheromones for her


 
Pheromones for him

 Usicheze mbali mdau

Thursday, 20 October 2011

Perfume zilizopo kwenye dressing table yangu

Kwanza kabisa mimi natunia perfume za FM (Federico  Mahora)
Perfume zake ni even  better high quality kulinganisha na Madesginer wengine wakubwa kwenye high street. Na ziko created na company inaitwa DROM ambayo inatengeneza perfume za madsigner wengine kama Chanel na Gucci. Tofauti ni kwamba FM ni bei nafuu kwa sababu hawatumii macelebrity kutangaza perfume zao wala hawapeleki kwenye department store kubwa so cost inakuwa ndogo. Hata hivyo scent za FM perfumes ni similar na nyingine nyingi kwani DROM wanatumia oil famili moja. Chungulia older post the beauty of FM kwa maelezo zaidi.

Juu nimeweka brand name ya commom  designer na chini yake ni FM brand ambayo inanukia sawa ila FM ni more concentrated so inalast muda mref (Naongelea kutokana na experience kwani nimeshatumia high street brand name kwa muda mrefu kabla ya kuanza kutumia FM brand). Of course ukinunua FM perfume unasave up to 70% kama ungenunua high stree brand. Sio lazima ikucost fortune kunukia vizuri, Mimi nimechagua quality na sio Name, Je wewe utachagua nini? chaguo ni lako.

Bvigari Jasmine Noir

 


FM 287 50ml Eau de perfume wood (Mysterious)
Amor amor tentation Cacharel FM 287 50ml Eau de perfume oriental (Romantic)


Dior addict - Christian DiorFM 142 50ml Eau de perfume Oriental (Provocative) hii ni perfect kwa mtoko utanukiajeee

Hizo ni zangu mimi, tutumie na wewe zako kupitia imafmtz@gmail.com au kupitia comment

Enjoy na karibu tena.