Kuna maelfu ya perfume madukani, lakini sio perfume zote ni nzuri kwa kila mtu, kwa hiyo ni muhimu kuchagua perfume ambayo itamfaa mtumiaji ili kuepuka disappointment.
kumbuka perfume nzuri ni ile inayomfanya mtumiaji kujisikia vizuri, kuongeza confidence na uchangamfu, na kusaidia kuexpress haiba na mood yake. Kwa hiyo chagua the best and right one. How?
Tips:
1. Usifanye haraka kununua perfume, chukua muda kutafuta perfume nzuri.
2. Ili uweze kupata perfect perfume jaribu kuchunguza ni perfume gani mlengwa anapendelea kwa kuangalia antumia perfume ipi kwa sasa au anpenda kuongelea perfume gani. Unaweza pia chunguza personality au style yale (casual, classic, elegant nk) au occasion ( kwa ajili ya kazini, kutokea jioni, party au matumizi ya kila siku). hii iatakusaidia kuchagua kwani kuna perfume kusuit kila age, occasion, style au personality.
3. Usinunue perfume kwa kuchagua jina la perfume au brand name au muonekano tu no no no, kama hauijui kwani majina mengine ni matangazo tu na hai-reflect juice iliyopo ndani na inaweza isiendane na vigezo hapo no.2 ambavyo ni muhimu.
4. Tip muhimu kuliko zote ni kujaribu (smell perfume) Unataka kuchagua perfume ambayo utapenda mlengwa anukie vizuri. sio vibaya kununua perfume ambayo anayotari easy! ingawa ni vizuri zaidi kama utampatia perfume tofauti ambayo inaweza kuwa katika fragrance family moja na anayotumia sasa (floral, oriental, wood, citrus, chypre au fougere, kwa maelezo zaidi ya magroup haya na mengine pitia older post) kwa njia hii huwezi kuwa disappointed.
5. usisahau kufunga zawadi yako vizuri na kuongeza ujumbe wako, wao! hii itakuwa perfect gift isiyosahaulika, 100% sure.
List ya top perfume gift kwa ajili ya chrismas na mwaka mpya inakuja, utapitwaje?
Good luck