Pop star Madonna ametangaza kutoa perfume yake ya kwanza itakayoitwa Truth or Dare mwakani mwezi wa nne.
Imekuwa kawaida kwa macelebrity kutoa perfume zao na kuteka soko la perfume madukani.
Macebrity kama Mariah Carey, Jennifer Lopez, Kim Kardashian, Beyonce na wengine wengi tayari wana fragrance line zao siku nyingi.
Madonna ambaye yuko obsessed na perfume (Perfumista), amekuwa akitaka kutoa perfume ambayo ni personal kwake na inamuelezea yeye na bado ikawagusa watu wengine vilevile. How nice. Perfume yake inawakilisha honest na daring ndio maana inaitwa TRUTH or DARE. Apparently inanukia kama perfume aliyokuwa akitumia mama yake na huko ndiko alikopata inspiration, nani kama mama! Madonna anailezea perfume yake kama something classic, timeless, modern, feminine, mysterious and fresh. I can't wait to smell it.
No comments:
Post a Comment