Sunday, 8 January 2012

RESOLUTIONS FOR 2012

KILA MWANZO WA MWAKA NI KAWAIDA KWA WATU WENGI KUJIWEKEA MALENGO AMBAYO WANGEPENDA YAFANIKIWE KUFIKIA MWISHO WA MWAKA. IKIWA NI PAMOJA NA KUBADILISHA LIFESTYLE, KUBADILISHA KAZI AU KITU CHOCHOTE KITAKACHOMNUFAISHA MPANGAJI KATIKA MAISHA YAKE YA KILA SIKU.
KWA KUA NDIO TUMEUANZA MWAKA 2012 NIMEONA TUSHEE MALENGO YETU YA MWAKA HUU.

PERFUMISTAS KATIKA MALENGO YAKO YA MWAKA MPYA KUNA HATA MOJA LINALOHUSIANA NA PERFUME? TUJUZE

MIMI NIMEANZA KUTIMIZA LENGO LANGU LA KUONGEZEA PHEROMONE PERFUMU JUU YA PERFUME ZANGU, HAKIKA INANAFASI YAKE KATIKA SWALA ZIMA LA MANUKATO NA USAFI. UKITAKA KUAMINI FATA NYUKIIII.

pheromone yenyewe ndio hii

KUWA FREE KUSHARE KITU CHOCHOTE NASI KWA KUACHA COMMENT YAKO HAPO CHINI AU EMAIL imafmtz@gmail.com

1 comment: