TRENDY PERFUMES TZ BLOG INAYOFURAHA KUTANGAZA KWAMBA ZAWADI YA CHRISTMAS KAMA ISHARA YA UPENDO KWA WADAU WETU WOTE IMETOLEWA KWA MARIAM NA SALMA.
TUMEAMUA KUTOA ZAWADI KWA PERFUMISTAS WOTE WAWILI KWANI NDIO PEKEE WALIOSHIKI DRAW .
HONGERA MARIAM NA SALMA.
MTAPOKEA SIMU LEO (KUPITIA NAMBA MLIZOTOA) ILI MUWEZE ELEKEZWA NI WAPI PA KWENDA CHAGUA ZAWADI YA CHUPA MOJA YA PERFUME YA CHAGUO LAKO TOKA KWENYE PERFUME ZETU ZA FM COLLECTION.
TRENDY PERFUME TZ INAWATAKIA WADAU WETU WOTE MAANDALIZI MEMA YA XMAS NA MWAKA MPYA.