Kuwa free kujibu maswali matatu yafuatayo ya poll yetu ya week hii, its just for fun.
1. je, leo umetumia perfume gani?
2. Una jumla ya perfume ngapi kwenye dressing table yako?
3. Ni perfume gani hauna lakini unatamani sana kuwa nayo?
Mimi nimetumia hivi
Federico mahora(FM) unperfumed deodorant, FM 142 Eau de perfume na FM 147 body lotion, full layering.
Have a nice weekend perfumistaaz. God bless you.
1.GIVENCHY BLUE
ReplyDelete2.3
3.FM 297 LUXURY EXTRAVAGANT COLLECTION 50ML