Kuna punguzo la bei kwa wiki moja kuanzia jumapili hii mpaka jumamosi ili kuwasaidi perfumistas kuchagua zawadi za christmas na mwaka mpya iwe unaji-treat mwenyewe au mpendwa wako.
Kuna fragrance nyingi tofauti kukidhi upendeleo wako na kurepresent character, jinsia na umri wowote, kama ifuatazo:
FM 262 for her 30ml floral(TIMELESS) Tumia hii wakati wowote, popote inafaa. Ukitumia asubuhi kazini, kama unaonganisha na mtoko jioni wewe jipulizie tena kabla haujatoka kazini na kila utapopita watu watatamani upite tena.
FM 12 for her 30ml Oriental(sensual)Kwa wale wenye dates au evening/dinner out na anayekujali hii nitarudisha attention yoote kwako wala hataangalia pembeni lol.
FM 32 for her 30ml Oriental (Extravagant) Kama inavyojielezea ina kila kitu extra unachotegemea kutoka kwenye manukato nzuri zaidi kwa jioni ila ukipenda toka nayo muda wowote
FM 21 for her Floral (Timeless)Haipitwi na wakati hii tumia popote, kila perfumista must have haitamiss kwenye dressing table yako forever.
FM 34 for her 30ml Chypre(Chic) kama umealikwa kwenye party na hauna mood wa kuparty tumia hii, night club ndio yenyewe. Hakuna harufu ya sweat au sigara, party mpaka asubuhi
FM 125 for her 30ml Floral (Go ahead) tumia hii popote, mahususi kwa wanawake wenye strong character ambao hawaogopi kuface challenges itakuongezea nguvu na confidance na bado unukie kama lady
FM 142 for her 50ml Oriental (Provocative) Usije tu ukatumia hii kazini kwani kama inavyoelezea ni provocative, Kicheni pati au mtoko wowote ndio mwake ila angalia usije mfunika mtarajiwa na spray moja shingoni na viganja vya mikono au la kila unachoshika kitabaki na harufu ila ni taamuuuu. Kama wewe unataka kunukia pitia hii zimebaki mbili tu.
FOR MEN
FM 132 for him 50ml Citrus(Light) kama haupendi harufu kaliii lakini unapenda kunukia freeesh wahi hii imebaki moja tu kwenye stock.
FM 135 for him 50ml Fougere (Light)Hii pia ni kwa wale wnaume wanaopenda kunukia vizuri lakini wako sensitive na harufu kali sana.
FM 56 for him 50ml Chypre (Determined) Ukitumia hii ni wewe tu utakae kuwa noticed/attracted kwenye group
FM 60 for him 50ml Wood (Liberated) Maalum kwa open-minded modern men
FM 54 for him 50ml Fougere (Bussiness) perfect kwa smart successful na professional man kazini
FM 68 for him 50ml Fougere (Business) hii ni sawa na FM 54 kwa successful professional au business men
FM 208 for him 50ml Wood (Elegant) Kama wewe ni mpenzi wa popula perfume play for men by givenchy ukinusa hii hautaiacha, sooo smart and stylish scent
FM 223 for him 50ml oriental (Elegant) ongeza mvuto na style kwa kutumia modern scent kama hii
FM 198 for him 50ml Wood (Determined) perfect kwa wanaume wanaojiamini
FM 152 for him 100ml Wood Elegant) Hii scent haitakuangusha kama unahitaji kureprent ulivyokua modern, stylish na smart muda wote
FM 155 for him 100ml Wood (go ahead) Hauhitaji kujiuliza mara mbili uende au usiende full kujiamini tumia hii
Haya stock inaishia kwa hiyo usikose yako wakati huu wa offer, pitia Dallas shop leo. Duka liko sinza kijiweni karibu na duka la nguo la kwa wajanja au piga simu 0716 199724 au 0787 638958 kutoa order yako utumiwe popote mikoani. Au kwa maelezo zaidi tuma email imafmtz@gmail.com
Bei ni kati ya Tsh 45,000 na 65,000 tu, wiki ya punguzo usiikose, offeer ikiisha bei ya kawaida inarudishwa
KARIBU
No comments:
Post a Comment