Tuesday, 22 November 2011

SNEAK PICS ZA VIATU VYA UKWELI

Hivi vyootee na vingine vingi vinapatikana live ndani ya nyumba, bongo. Nenda na wakati kwa kuvaa moja kati ya hivi ambavyo ni trendy sasa hivi, usipitwe.






















Kama wewe sio wa michuchumio hivi pia vipo bila kusahau KT





Endelea kuwepo kwa habari zaidi kuhusu hii miguu ya haja.

                                                                     Siku njema

2 comments:

  1. UNA VIATU VYA UKWELI ILE MBAYA SANAAAAAAA

    ReplyDelete
  2. habari

    viatu vyako vizuri je hicho kiatu cheusi cha saba toka juu unakiuza bei gani?

    ReplyDelete