ONYESHA UPENDO KWA WAPENDWA WAKO XMAS HII NA MWAKA MPYA
Unaweza kuwa na mapenzi ya dhati kwa yeyote unayemjali (mke,mume, wazazi, ndugu, jamaa na marafiki) lakini kama huonyeshi hili hawawezi jua. Zawadi ni kitu kidogo ila thamani yake kwa mpokeaji ni zaidi ya maneno. kwani mtu ataona ni jinsi gani umechukua muda wako kumfikiria na kumpa kitu ambacho kitamfanya ajisikie vizuri na kukukumbuka siku zote.
kitu kama perfume ni perfect gift, pitia yako leo pale Dallas kabla punguzo na stock havijaisha. pia waweza toa order yako kupitia imafmtz@gmail.com au piga simu namba 0716199724. Punguzo mwisho ni jumamosi hii.
Onyesha LOVE, toa Zawadi.
Pata ujumbe na burudani toka kwa MC- I want to know what love iiiiiiiis, I want you to shooooow me
No comments:
Post a Comment