Sunday, 23 October 2011

Dressing table ya perfumista No. 1 Shamim (Zeze) wa 8020 fashions, Waoooo!

You see what I mean. Hii inasummarise topic yetu iliyopita ya becoming a perfumista. Kama ilikupita chungulia kwenye popular posts au blog archive kulia.

Asante shamim kwa kushare dressing table yako nasi. Nimeikubalije. Hii inaitwa perfume wardrobe collection.





Hii ni ya Perfumista Shamim, Je yako ina nini. Haijalishi ni za aina gani au ngapi ili mradi ni choice yako na inakufanya ujisikie vizuri that's the whole point ya kuwa na perfume ambayo ni right for you. Tafadhali tuma picha yako kupitia imafmtz@gmail.com ushee na maperfumista wenzio.

Kuwa free kutoa maoni yako, pia unaweza mrushia rafiki yako kwenye facebook au barua pepe kwa kubonyeza link zilizopochini ya post.

Asante kwa kupitia na endelea kuwepo more interesting stuff ziko njiani

No comments:

Post a Comment