Wednesday, 26 October 2011

MANUKATO NA MAVAZI YA KAZINI

UNAWEZA KUTOKA NA MOJA KATI YA VIVAZI VINAVYOFANANA NA HIVI KULINGANA NA HALI YA HEWA AU UNAVYOPENDELEA








HUU NI MFANO TU WA KIATU COMFORTABLE NA SMART KINACHOENDENA NA VIVAZI VYA KAZINI, WEWE TINGA CHAKO

UNAWEZA ACCESSORISE NA KAPOCHI KAMA HAKA

KAMILISHA SEHEMU YA MAVAZI YAKO KWA KUJIPULIZIA FM 321 100ML EAU DE PERFUME SPRAY (FLORAL) HII NI MOJA YA PERFUME MAALUM KWA AJILI YA KUTUMIA KAZINI AU MIKUTANO YA KIBIASHARA. ITAKUFANYA UNUKIE KIPROFESSIONAL ZAIDI NA KUKUONGEZEA CONFIDENCE KATIKA KAZI YAKO.

KAMA UNA MAONI YOYOTE KUHUSIANA NA HILI AU JINGINELO ACHA MAONI YAKO

4 comments:

  1. HIYO PERFUME SHILINGI NGAPI MY DEAR.ZAIDI YA YOTE BIG UP! ENDELEA KUTUPA VITU VYA UKWELI ZAIDI.

    ReplyDelete
  2. sasa hiyo perfume inapatika bongo? wapi na kiasi gani? maana wife kaanza kunipigia kelele lo! haya majaribu unatuletea we perfumista.

    ReplyDelete
  3. mbona hujibu jamani my dear tujibu tunajua kazi nyingi ila jitahidi na huku kujibu c et eeh my dear jibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!yaani shilingi ngapi perfume hiyo.

    ReplyDelete
  4. sorry kwa kuchelewa kujibu, ile perfume yetu utaipata kwa tsh 68,000 tu na ni ml 100. asante na karibu tena

    ReplyDelete