Tuesday, 17 April 2012

Real leather, durable and Comfortable. Coming soon!!

Jk style(Real leather, light and comfortable)
Mzigo utaingia na bidhaa kama hizo pia kwa akina baba. Endelea tembelea blog kwani pamoja na fm perfumes, design perfumes/cognes pia zitakuwepo  kwa reasonable price tokana na ombi la wengi . Kumbuka, hakuna mchina hapa kwani bidhaa zote zinatoka kwa mama (UK) na zimekidhi European standards.
1 comment:

  1. Hayo ndo mambo, tuwekee bei basi. Na je naweza kupata CK enternity? Maana bongo utapeli mpaka kesho. Lol!
    Joane.

    ReplyDelete