Monday, 16 April 2012

Perfumes/Cognes Mahotelini

Kwa mujibu wa mtandao wa Rosewood hotels and Resorts, ambazo zimetawanyika America/Canada, Carribean/Atlantic, Midle East na Mexicao, mteja huhitaji kutembea na perfume/colognes kama unapanga kwenye hotel/resort zao. It’s just the matter of ringing the bell na mhudumu maalum mtaaluma wa mambo hayo atakuja na trey yenye perfume/colognes kwa ajili yako ujipilizie ama iwe ya jioni/kazini au mtoko! Hongera rosewood hotel kwa kuwajali wateja, sijajua gharama zao ni vp maana mambo hayo!!!! Inawezekana pia hii ni kwa sababu za liquids rules at airports. Na hakika hii  ni sensible approach maana airports na liquids ni issue siku hizi.
(Picha kwa hisani ya yahoo)

2 comments:

  1. Heh, hiyo kali ikija Dar mambo yatakuwa mswanooo!!!

    ReplyDelete
  2. We anonymous hapo juu kama itakuja huku dar naona itakuwa hatari. Usafiri wetu ni wa vihice na hiyo harufu tutamudu kweli maana kila mtu atataka kutumia ili mradi amepanga hotelini. Kwa maoni yangu isije huku dar.
    Msikwe, D.

    ReplyDelete