Thursday, 8 December 2011

HAYA VILE VIATU VYA UKWELI VIKO MUJINI, WAHI VYAKO LEO UPENDEZE


WENYE MIGUU YAO, MNYAMA KATULIAA EEE. CHEZEYA FASHIONISTA HUYU KESHA WAHI VYAKE. 
 
VINGINE HIVI VISHACHUKULIWA NA WENYEWE


KAMA HUPENDI JINYANYUA HIVI VIPO, PATRA MGUU UMEMTENDEAJE MNYAMA HAKI

UDDAH NAE HAKUTAKA PITWA, ETI ATATOKAJE XMAS NA MWAKAMPYA HUU

NAWEWE NJOO UCHUKUE VYAKO KABLA HAVIJAISHA UTOKE TRENDY CHRISTMAS NA MWAKA MPYA. VIPO VINGII, KAMA UNAVYOONA KWENYE BANNER HAPO JUU AU BONYEZA SNEAK PICS ZA VIATU VYA UKWELI UONE BAADHI YA COLLECTION ILIYOPO KWENYE STOCK.

PIGA SIMU: 078 763 8958 KUNUNUA AU KWA MAELEZO ZAIDI (HUDUMA NI NZURI SANA)
NA MIKOANI VINAFIKA WEWE TOA ODA YAKO TU.

KARIBU

Tuesday, 6 December 2011

OFFER NYINGINE YA PUNGUZO LA BEI YA PERFUME SPECIAL KWA AJILI YA CHRISTMAS


CHRISTMAS IMEANZA MAPEMA TRENDY PERFUMES TZ. MWAKA HUU KILA MTU ATAPATA ZAWADI YAKE.

MAANDALIZI MEMA

PERFUME ZOTE ZINAPATIKANA DALLAS SHOP SINZA KIJIWENI, AU WAWEZA PIGA SIMU AU EMAIL ORDER YAKO UKALETEWA MPAKA MLANGONI.


SIMU: 0716199724

KARIBU

IPENDE SEHEMU UNAYOPUNGUZIA UCHOVUKITANDA KISAFI KIMEPENDEZA EEEH.

NAWE WAWEZA PENDEZESHA CHAKO.
BEDDINGS ZA UKWELI KAMA HIZI NA NYINGINE NYINGI ZINAPATIKANA BONGO. NITAKUJUZA NI WAPI UPATA YAKO SOON.

Monday, 5 December 2011

MDHAMINIIII

Wenye miguu yao kaeni mkao wa kula. Kuanzia mnyama, nyoka nyoka, block heels, colour blocking vyoote utapatiwa kwa ajili ya kusherehekea chrismas na mwaka mpya kwa style.
Usipitwe na wakati, ukihitaji kutoka na colour blocking hizi au trendy nyingine ambazo ni must have 2012 endelea kuwepo.

SWALI LA KIPINDI CHA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA


je unategemea/unapendelea kutoa au kupokea perfume kama zawadi ya christmas au mwaka mpya mwezi huu?

Kama ndio, ni perfume gani ungependa kutoa au kupokea?

mimi nina zawadi zaidi ya kumi za kuwapa ndugu, jamaa na marafiki kabla ya christmas na mwaka mpya na zote ni perfume ambazo zilikuwa kwenye wish list ya walengwa.

Na ofcourse, binafsi nategemea kupata perfume nyingine chrismas hii kwani huu ndio ugonjwa wangu, sijawahi kusema no kwenye perfume.

Haya tujuze na wewe umeandaa nini cha kuwapa wapendwa wako, unakaribishwa kushare nasi kwa kuacha comment yako.

Siku njema.