Monday, 5 December 2011
SWALI LA KIPINDI CHA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA
je unategemea/unapendelea kutoa au kupokea perfume kama zawadi ya christmas au mwaka mpya mwezi huu?
Kama ndio, ni perfume gani ungependa kutoa au kupokea?
mimi nina zawadi zaidi ya kumi za kuwapa ndugu, jamaa na marafiki kabla ya christmas na mwaka mpya na zote ni perfume ambazo zilikuwa kwenye wish list ya walengwa.
Na ofcourse, binafsi nategemea kupata perfume nyingine chrismas hii kwani huu ndio ugonjwa wangu, sijawahi kusema no kwenye perfume.
Haya tujuze na wewe umeandaa nini cha kuwapa wapendwa wako, unakaribishwa kushare nasi kwa kuacha comment yako.
Siku njema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment