Wednesday, 18 April 2012

Mambo ya Fiderico Mahora (FM)

Picha  kwa hisani ya FM webite
Je wajua kwamba FM-group wana product zaidi ya perfumes/cognes?  Endelea tembelea kwani tutawaleteeni bidhaa maridhawa za FM zilizokidhi European Standards  kwa reasonable price.

Tuesday, 17 April 2012

Real leather, durable and Comfortable. Coming soon!!

Jk style(Real leather, light and comfortable)
Mzigo utaingia na bidhaa kama hizo pia kwa akina baba. Endelea tembelea blog kwani pamoja na fm perfumes, design perfumes/cognes pia zitakuwepo  kwa reasonable price tokana na ombi la wengi . Kumbuka, hakuna mchina hapa kwani bidhaa zote zinatoka kwa mama (UK) na zimekidhi European standards.
Monday, 16 April 2012

Perfumes/Cognes Mahotelini

Kwa mujibu wa mtandao wa Rosewood hotels and Resorts, ambazo zimetawanyika America/Canada, Carribean/Atlantic, Midle East na Mexicao, mteja huhitaji kutembea na perfume/colognes kama unapanga kwenye hotel/resort zao. It’s just the matter of ringing the bell na mhudumu maalum mtaaluma wa mambo hayo atakuja na trey yenye perfume/colognes kwa ajili yako ujipilizie ama iwe ya jioni/kazini au mtoko! Hongera rosewood hotel kwa kuwajali wateja, sijajua gharama zao ni vp maana mambo hayo!!!! Inawezekana pia hii ni kwa sababu za liquids rules at airports. Na hakika hii  ni sensible approach maana airports na liquids ni issue siku hizi.
(Picha kwa hisani ya yahoo)

Saturday, 11 February 2012

CHEZEA MANUKATOOO

PERFUMISTAS  UKISIKIA PERFUME INAONGEZA ATTRACTION NA CONFIDENCE NDIO KAMA HIVI LOLEST.HII INAWAKILISHA MARASHI YOYOTE, WEWE JINUKILISHEE UONGEZE MVUTO

WEEKEND NJEMA

Monday, 6 February 2012

VALENTINE'S DAY GIFT IDEAS

HABARI PERFUMISTAS NIMEWAMISIJE. SAMAHANI KWA KUPOTEA KIDOGO ILA SOON KUTAKUWA NA VITU VYENYE MANUFAA ZAIDI HUMU MJENGONI (STAY TUNED).

KWA KUWA HII NI FEBRUARY AKA MWEZI WA KUSHEREHEKEA SIKU YA WAPENDANAO (NB: KUPENDANA NI KILA SIKU LOL) KAMA BADO HAUJAPATA ZAWADI YA UMPENDAYE HUJACHELEWA BADO UNA WIKI NZIMA. TOA ZAWADI KAMA ISHARA YA UPENDO .SIKU ZOTE PERFUME HUFANYA ZAWADI NZURI AMBAYO MPEWAJI ATAITHAMINI NA KUIFURAHIA KWANI NI KITU CHA KINACHOTUMIWA KILA SIKU. PIA NI KITU RAHISI KUTOA KWANI NI SUITABLE KWA JINSIA ZOTE NA MTU YEYOTE WA UMRI NA UHUSIANO WOWOTE SI KITU UTACHOJIULIZA MAMA ATANIFIKIRIAJE NIKIMPA ZAWADI YA PERFUM AU RAFIKI YAKO ACHILIA MBALI MPENZI.

KWA MAHITAJI YAKO YA PERFUM ZA UKWELI GOOD QUALITY, CLASSIC, LUXURY, AFFORDABLE NI ILE ILE FM BRAND PERFUMES ZA KIKE NA KIUME.

PIGA SIMU NAMBA 00255 716 199724 NA UTALETEWA MPAKA MLANGONI HII NI KWA WOTE NDANI NA NJE YA DAR.

BAADHI YA PERFUME ZILIZOPO KWENYE STOCK LEO NI KAMA HIZI:

FM 294

FM 297

FM 318

FM 322

FM 308

FM 311

PAMOJA NA CLASSIC COLLECTION ZA KIKE NA KIUME NYINGI.


KUMBUKA UTAPATA NAFASI YA KUNUSA SAMPLE KABLA HUJANUNUA. WAHI SASA KWANI DEMAND NI KUBWA SANA.

HAPPY VALENTINE'S DAY PERFUMISTAS. UNAONAJE UKITUMIA MUDA HUU KUSHARE KITU CHOCHOTE KUHUSU VALENTINES DAY KAMA VILE ZAWADI UTAKAYOTOA AU KUPOKEA SIKU YA VALENTINE'S DAY NK.

Monday, 9 January 2012

FM PERFUME REVIEW 2

NENO LA LEO

The scent on your skin gradually develops its unique bouquet. So do not rub it in and do not warm it up with your hands. Let it blossom in its own time. At first it will delight you with the fresh head note, then with the more characteristic heart note and finally the most lasting base, called the deep note

PERFUME ZA LEO


FM306
50ml Parfum Spray                                                              
(20% perfume percentage) 
Sophisticated combination of pear, jasmine, patchouli, styrax japonica and spices: ginger and saffron.

Floral - Go ahead. kama unahitaji extra confidence tumia hii popote utajiaminijeeee
FM308
50ml Parfum Spray                                                                           
(20% perfume percentage)
 


Delicate charming aroma of jasmine, honey, orange flower and tea leaves.
Floral - Delicate. Kama hupendi marashi makaliii hii inakuhusu soooo fresh

FM309
50ml Parfum Spray                                                                
(20% perfume percentage)


Exotic combination of black tea extract, jasmine, cardamom and sandal tree.

Oriental - extravagant poa kwa kutumia jioni. wapi kitcheni party


FM322
100ml Eau de Parfum Spray   
(16% perfume percentage)
A serene blend of juicy grapefruit, sensual jasmine and hyacinth aromas, with the warm scents of cedar and white musk. 

Floral - Hii ndio zile perfume zinaitwa timeless yaani hazipitwi na wakati na zinaendana na wakati na mazingira yoyote tumia mchana kazini au jioni kwenye mtoko.


FM317
50ml Parfum Spray   
(20% perfume percentage)

Alluring aroma of juicy peach combined with lilac, pink pepper, 
patchouli and ambergris. 

Floral - Sensual. Mambo ya hisia za kipekee haya.INAENDELEA
ENJOY
UNAHITAJI MOJA KATI YA HIZI LUXURY PERFUMES AU NYINGINEZO KAMA HIZI PIGA SIMU NAMBA 0716199724 UNUKIE VIZURI KWA BEI RAHISIIIII