Monday, 10 October 2011
Jinsi ya kutumia perfume
Puliza perfume yako kwenye shingo, viganja vya mikono, na kwenye elbow bends au magotini. Hizi ndizo sehemu ambazo zinafanya harufu ya perfume yako inukie vizuri. Hii ni kwa sababu kwenye hizo sehemu kuna mzunguko wa damu mkubwa ambao unastimulate perfumes kutoa harufu nzuri zaidi kama banner inayotumika kusambaza home fragrance oils. usisugue perfume kwenye ngozi, kwani utaharibu compound zake, kwa hiyo umalizapo kupulizia acha ijieneze yenyewe.
Ni vizuri kutumia perfume mara moja baada ya kuoga. Tumia pefume yako asubuhi kabla haujatoka nyumbani. Unaweza kurudia tena mchana kurefresh.
Hata hivyo hakuna ubaya kupulizia perfume kwenye nguo kama unapendelea. Ukitaka kunukia even more delicate, pulizia perfume kwenye hewa halafu walk into it. Hii inafaa zaidi kwa perfume zenye harufu kali.
I hope wapenda marashi wataenjoy zaidi. Endelea kutumia perfumes kuexpress yourself. kama unamawazo yoyote kuhusiana na perfume na matumizi yake unakaribishwa kushare nasi hapa kupitia imafmtz@gmail.com. Pia unaweza tuma picha za perfume unazotumia au unazopenda wewe brand yoyote.
Karibuni tena.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment