Wednesday, 2 November 2011

FM NDIO NINI

Perfumistas wengi wanauliza FM ina maana gani?

FM ni brand name ya products za Federico Mahora (FM)

Company yake inaprovide high quality fragrance na makeup kwa bei nafuu kwa sababu hawatumii macelebrity au matangazo yoyote kwenye TV au magazeti kama madesigner wengine kutangaza bidhaa zao na kuongeza bei ya perfume zao. unaponunua perfume za FM unakuwa umenunu moja kwa moja kutoka kiwandani kupitia networking marketing kwa bei nafuu ukilinganisha na brand nyingine kwa quality bora zaidi (perfumistas wanaotumia FM fragrance mnaelewa ninachoongelea).

Nicole Kidman anlipwa £15 million kutangaza Chanel No. 5, you pay for it. FM perfume haina hizi cost.


na bei ndio kama hivyo £61 kwa 50ml na £86 kwa 100ml ambazo ni sawa na TSH 160,000 na 230,000
Nimetumia mfano wa chanel kwani standard ya perfume zake ni similar na FM na FM ni even better quality

Tofauti na brand nyingine FM wanatengeneza scents zaidi ya 150 kwa hito badala ya kuzipa perfume zao majina zina namba. Kuna FM 05 mpaka 329 huwezi kosa chaguo lako. Hata Chanel ana Chanel no. 5 na 19.

Kwa wale ambao bado hawajui bei zetu ni kuanzia Tsh 48,000 mpaka 85,000 tuu kulinganga na ujazo (ml), packaging na concentration ya perfume. Sio lazima kutoa malaki kunukia vizuri. Kumbuka FM fragrance ni Eau de perfume sio eau de toilet kama perfume nyingi madukani kwa hiyo inakaa kwenye ngozi/nguo kwa mda mrefu, ukijipulizia asubuhi mpaka jioniiiii bado unanukia. Ukipata perfume inayokaa kwenye nguo mda mrefu kuliko FM kwa bei ya chini ya FM rudisha nawe utarudishiwa pesa yako kama ulivyotoa. So far hakuna complaints ni compliments tuu.

Wahi yako sasa unukieeee.

5 comments:

  1. Its true, mimi natumia FM kwa muda na imekuwa makini huku Brussels. Kweli bongo imeenda pazuri. big up yooo!
    Diana

    ReplyDelete
  2. Eh we unakazi maana ninavjojua watz na majina ya macelebrate mpaka iwaingie akililini itachukua muda sana.

    ReplyDelete
  3. me nimeelewa na kwa kuwa napenda perfume sana na pesa ya kununulia perfume za laki 3 sina ,nilikupgia simu ukanipa abc tayari ngoja nijipange nije kutake FM142

    ReplyDelete
  4. naomba tu unijuze mie ndo nimekatiza tu leo humu ndani na sijajua abc za wapi napata hizo perfume maana napenda kunukia ila sijajua nitumie nini cha nafuu naona hiyo fm itanifaa ila napata wapi??niko dar

    ReplyDelete
  5. Perfumisa wa sunday piga simu namba 0716199724 sasa hivi utapata abc zootee kuhusu kuchagua ipi inakufaa peruzi old post kuna tips nyingi tu zitakazoweza kusaidia choice yako pia utapata nafasi ya kujaribu sample zaidi ya 150 kwa hiyo uwezo kosa perfumu inayokufaa iwe kwa ajili ya matumizi ya mchana au jioni zooote utapata trendy perfume tz karibu sana

    ReplyDelete