Presenter jina kubwa Kim Kardashian na mumewe Kris Humphreys wameachana na kuna habari ya kuwa Kim ame-file divorce baada ya ndoa yao kudumu kwa takribani siku 72 tu. Ilishahabarishwa kuwa Kim alionekana akiwa hana pete yake ya ndoa kwa siku kadhaa kabla ya habari hii.
Kim alitoa limited edition perfume 'LOVE' maalum kwa ajili ya harusi yake na ambayo iliuzwa na kwisha ndani ya siku kumi tu. What a hit!!
KIM KARDASHIAN LOVE FRAGRANCE
No comments:
Post a Comment