Kipindi maarufu cha reality TV show kutoka marekani kinachoongozwa na Model Tyra Banks nacho kina perfume yake inayoitwa Dream Come True, how sweet.
Dream Come True imetengenezwa kumfanya msichana yeyote anayeitumia kujisikia mwenye furaha, na kuhamasisha mafanikio katika kazi.
Dream Come True yenyewe ndio hii, ya ukweli.
Be Inspired. Warembo itafuteni
No comments:
Post a Comment