Tuesday, 18 October 2011

Deodorant muhimu Perfumista



Perfume ni muhimu kwa mtanashati yoyote. Lakini deodorant au antiperspirant ina sehemu yake katika kumsaidia mtu aliye active na morden kujisikia fresh na kuwezesha perfume yako kuendelea kunukia vizuri kwa muda mrefu.



Deodorant zina unique formula mahsusi kwa kuzuia au kuondoa jasho na pia zinasaidia kulainisha ngozi (underarms). Unaweza kutumia roll on au spray kulingana na choice yako.



Pia unaweza kutumia deodorant ambayo ni odorless au yenye harufu. Ni vizuri zaidi kama uaweza kupata deodorant yenye similar scent na perfume yako, hii ni effective katika layering. Hata hivyo unaweza kuchagua scent yoyote ila ni vizuri isiwe strong sana kuliko perfume yako.

So guys get yours for maximum comfort and self confidence.

Je wewe unaonaje kuhusiana na hili? Toa maoni yako kupitia imafmtz@gmail.com

Karibu na usisahau kupitia older posts kuna good stuff for you to enjoy