Thursday 20 October 2011

Perfume zilizopo kwenye dressing table yangu

Kwanza kabisa mimi natunia perfume za FM (Federico  Mahora)
Perfume zake ni even  better high quality kulinganisha na Madesginer wengine wakubwa kwenye high street. Na ziko created na company inaitwa DROM ambayo inatengeneza perfume za madsigner wengine kama Chanel na Gucci. Tofauti ni kwamba FM ni bei nafuu kwa sababu hawatumii macelebrity kutangaza perfume zao wala hawapeleki kwenye department store kubwa so cost inakuwa ndogo. Hata hivyo scent za FM perfumes ni similar na nyingine nyingi kwani DROM wanatumia oil famili moja. Chungulia older post the beauty of FM kwa maelezo zaidi.

Juu nimeweka brand name ya commom  designer na chini yake ni FM brand ambayo inanukia sawa ila FM ni more concentrated so inalast muda mref (Naongelea kutokana na experience kwani nimeshatumia high street brand name kwa muda mrefu kabla ya kuanza kutumia FM brand). Of course ukinunua FM perfume unasave up to 70% kama ungenunua high stree brand. Sio lazima ikucost fortune kunukia vizuri, Mimi nimechagua quality na sio Name, Je wewe utachagua nini? chaguo ni lako.

Bvigari Jasmine Noir

 


FM 287 50ml Eau de perfume wood (Mysterious)




Amor amor tentation Cacharel



 FM 287 50ml Eau de perfume oriental (Romantic)


Dior addict - Christian Dior



FM 142 50ml Eau de perfume Oriental (Provocative) hii ni perfect kwa mtoko utanukiajeee

Hizo ni zangu mimi, tutumie na wewe zako kupitia imafmtz@gmail.com au kupitia comment

Enjoy na karibu tena.

2 comments:

  1. Hongera zako dadangu. sasa kwa sisi wa huku mbeya tutapataje na hizo sample tutazipata kabla ya kununua?

    ReplyDelete
  2. Asante mdau. Perfume zetu zinapelekwa kila mkoa Tanzania regardless we toa order yako tu piga simu namba 07916199724 au email imafmtz@gmail.com kwa maelezo karibu

    ReplyDelete