Perfumistas sio kwa ladies tu hata gentlemen inawahusu. Show who you are!
Nimebambwa na hii dressing table for him ya mdau kutoka mikocheni, ana perfume za kila occasion na mood. Raha eeeh,
Asante mdau kwa kushare dressing table yako na perfumistas. Na wewe tuma yako kupitia imafmtz@gmail.com
No comments:
Post a Comment