Ni muda sasa tangu superstars mbalimbali kuanzia footballers (David Beckam), wanamitindo (Naomi Campbell), wacheza cinema na wanamuziki wengiii ambao nikiwataja siwezi kuwamaliza,wote kutoka majuu wamekuwa wakitumia majina na umaarufu wao kutoa perfumes ambazo zimekuwa ziki-hit soko la perfume na kulipa.
Haya hata Lady gaga nae anatoa yake mwakani sambamba na Madonna. Inasemekana perfume ya gaga itaitwa Monster na itanukia kama damu na semen. Nahisi chupa itakuwa kama skeleton fulani hivi.
Wapi macelebrity wa bongo, zamu yenu sasa kutoa fragrance zenu, inawezekana. Namimi natengeneza fragrance composition yangu ikiwa tayari nitafanya deal na celebrity mmoja wa bongo, imekaajee.
Hii ni ya beyonce, tunasubiri ya superstar wa bongo
No comments:
Post a Comment