Perfume ya mwanamziki mpya Justin Bieber SOMEDAY ime-hit market na imeshatengeneza zaidi ya $ million 3 mwaka huu licha ya kuingia sokoni mwezi uliopita tu. Mafanikio ya perfume ya Bieber ni zaidi ya yale ya perfume ya JLO GLOW na CURIOUS ya Britney Spears.
Imasemeka perfume ya JB ndio popular celebrity fragrance ya mwaka so far.
Wapi celebrity wa bongo
No comments:
Post a Comment