Sunday, 18 December 2011

Trendy Perfumes Tz kutoa perfume kama zawadi ya xmas kwa wadau





Imebaki wiki moja kabla hatujasherehekea sikukuu ya xmas. kama ilivyokawaida huu ni wakati wa kutoa na kupokea zawadi toka kwa ndugu, jamaa na marafiki.
Trendy Perfumes Tz inazawadi ya chupa moja ya perfume ya kutoa kwa mdau atakaebahatika kushinda na kuwakilisha wadau wote wapendwa wa blog hii ya perfumistas.

KUINGIA KWENYE SHINDANO:
Toa comment yako kwenye poll ya leo. Mshindi atachaguliwa randomly. Ni vizuri kutoa jina ili iwe rahisi kumtapata mshindi kwani kila mtu akiwa anonymous itakuwa vigumu kumpatia muhusika zawadi yake. Ni viruri pia kuacha namba ya simu au email ili ukishinda ujulishwe mara moja ni wapi uende kuchukua zawadi yako (Contact zako hazitarushwa kwenye blog).

Trendy Perfumes tz inajali na kushukuru wadau wote wanaotembelea blog ndani na nje ya tanzania, lakini kwa sababu zisizoweza zuilika shindano liko wazi kwa wadau wa tanzania pekee kwa sasa. Tunaangalia jinsi ya kushirikisha wadau wote kwa wakati ujao kwani tunathamini wadau wote bila ubaguzi.

WEEKEND POLL YENYEWE NDIO HII:

JE, KAMA SANTA ANGEKUACHIA ZAWADI YA PERFUME CHINI YA MTI WAKO WA CHRISTMAS, BILA KUJALI BEI AU KIKWAZO CHOCHOTE, UNGEMWAMBIA AKUACHIE PERFUME GANI? NA KWA NINI?
Mfano kwa sababu inanukia vizuri, iko kwenye nzuri, ukiitumia inakufanya uwe na furaha au confidence, au ukiitumia unasifiwa sana au ni bei nafuu au sababu nyingine yoyote uliyonayo.

SHINDANO MWISHO NI JUMATANO USIKU. NA MSINDI ATATANGAZWA HAPA  ALHAMIS

GOOD LUCK NA WEEK END NJEMA

5 comments:

  1. mariam - said...
    GUCCI
    Inanukia vizuri lakini pia inanifanya nijiaminia kwasababu naamini kila nitakayepishana nae lazima anigeukia kwasbb ya unique wa perfume na scent iliyo nzuri sana.

    ReplyDelete
  2. mariam - said...
    GUCCI,ni perfume nzuri na inanukia vizuri kwani harufi yake ipo unique na inanifanya nijiamini napopita mbele za watu ,unajifeel fresh wakati wote na nakuwa na amani

    ReplyDelete
  3. Salma-
    Victoria secret,hii ni perfume ninayojickia fresh n elegant ninapojipulizia na huwa napenda kunukia muda wote kama ambavyo na mpenzi wangu anavyonisifia.ile perfume hudraw attention ya mtu popote pale ninapopita coz humukia vizuri sana

    ReplyDelete
  4. Mariam endelea kuinjoy perfume yako kwani hakuna kitu kizuri kama kutumia kitu kinachokufanya ujiamini nimependa comment yako.

    ReplyDelete
  5. Salma umetupa ushuhuda kwa kitu kimoja kinachotegemewa unapotumia perfumu ni kuongeza mvuto kwa hiyo perfume yako inafanya kile kinachotakiwa big up na endelea kunukia. asante kwa kushare experience nasi.

    ReplyDelete