Ni muhimu kwa kila mtu kujipenda. kujipenda ni zaidi ya kuvaa au kutumia vitu expensive au vitu vinavyotumiwa na watu maarufu. Kujipenda ni kujitahidi kujitunza (physically and mentally) kadri ya uwezo wako ikiwemo kula vivuri, kufanya mazoezi, kupata muda wa kupumzika na bila kusaha hands on katika swala zima la kuboresha muonekano wako. Hapa ndipo mambo ya usafi wa mwili na mavazi unahusu.
Perfume ina nafasi kubwa sana katika kukamilisha utanashati wa mtu wa jinsia na umri wowote. Fikiria unapishana na mtu anaeonekana smart kwa mbali na anatick kila box katika muoneka lakini akikupita anaacha strong body odour. Unafikiri ataacha impression gani kwako?
kutumia perfume Perfumes kunaongeza haiba(personality) ya mtumiaji kwa kiasi kikubwa. Manukato yanaeleza mengi kuhusu taste na mood ya mtu. Bila kusahau kuonyesha style yako. Manukato yanamfanya mtumiaji avutie zaidi kwani yanaongeza unadhifu kwa sababu ni kama kivazi. Kamilisha mavazi yako kila siku kwa kujipulizia marashi tofauti kulingana na wakati,occasion na mood, hakika utajisikia vizuri siku nzima hata kama uko tu nyumbani jinukilishe. Kama wewe sio mtu wa manukato jaribu sasa kabla mwaka haujaisha uone difference itakayotokea katika muonekano wako mwaka mpya.
Ufanye mwaka 2012 ni mwaka wa Look good,feel good.

Wasiliana nasi upate perfume nzuri kuliko zote kwako kutoka kwenye zaidi ya 100 scents classic na luxury collection FM perfume kwa bei nafuu sana. Ukiitumia FM perfumes hautaacha tena kwani ubora wake ni value for money na hakuna better quality perfume so far zaidi ya majina. (wateja wetu watakuwa wanajua ninachoongelea, na jisikie free kushare experience kwa kuacha comment)
Juu ni baadhi tu ya perfume zilizopo za kike na kiume
Kununua piga simu namba 0716199724 au email imafmtz@gmail.com kumbuka nunua moja upate ya pili nusu price mwisho ni leo. Usiikose offer hii.
Maandalizi mema ya xmas na mwaka mpya
No comments:
Post a Comment