Thursday, 5 January 2012

MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA

Habari za mwaka mpya perfumistaz. Samahani sana kwa kutokua na jipya humu mjengoni kwa wiki chache zilizopita majukumu yalikula kwangu kidogo. Ila nimerudi na kuahidi kuleta vitu vipya na vyenye manufaa zaidi hasa ukizingatia huu ni mwanzo wa mwaka.

 Kama una lolote la kuchangia kuhusu usafi na manukato au linginelo la kuelimishana katika lifestyle unakaribishwa kushare nasi kwa kutuma chochote utachopenda kuwekwa hapa kupitia www.imafmtz@gmail.com bila kubaniwa ili mradi tu isiwe kitu kitachomdhuru mtu mwingine kwa njia yoyote.

Asanteni sana kwa kutembelea trendy perfumes tz kwani bila nyie haiwezekani.  

karibu na enjoy.


No comments:

Post a Comment