Friday, 11 November 2011

zawadi zetu za chrismas zinaendelea

Pata ideal gift yako iwe kuji-treat mwenyewe au kwa ajili ya wapendwa wako. Wahi kabla hazijaisha christmas imekaribia, dont leave to last minute.

Kwa kuwarahisishia wateja wetu perfume zote na gift set sasa zinapatika Dallas duka la vitu za ukweli lililopo sinza kijiweni karibu na duka la nguo la kwa wajanja. Wa kariakoo kaeni mkao wa kula zinakuja upande wenu.

Vile vile unaweza pata huduma kupitia simu namba 0716199724 au email imafmtz@gmail.com kama kawa

Utajisikiaje ukiamka asubuhi siku ya christmas ukakutana na kitu kama hiki maalum kwa ajili yako, that's all I wish for chrismas.
                                                            KARIBUNI

Thursday, 10 November 2011

Tangazo la perfume ya Marc Jacobs Oh, Lola! labaniwa

Tangazo la perfume mpya ya Marc jacobs Oh, Lola! zimefungiwa na Advertising Standards Agency (ASA) kwa kuwa linasemekana kuwa sexually provocative. ASA wameangalia umri na mavazi ya model na position ya chupa katika kufanya maamuzi. Hii yuote ni katika kuwalinda watoto.



Je unafikiri tangazo limetendewa haki au wamewabania tu?

Ijumaa njema

Hot new high street scents

Nice and pricey Kama budget inaruhusu zisake pia
Guilty IntenseGucci guility Intense (Oriental) 50ml £59

ELIE SAAB LE PARFUMElie saab le parfum(Floral) 50m £60

TrĂ©sor Midnight RoseLancome Tresor midnight rose (floral) 50ml £49

Kama kawaida hizi ni high street brand kwa hiyo hizi price zinasababu zaidi ya quality ya perfume(waweza pitia older post FM ni nini kujua zaidi)

kwa nini usijaribu exceptional high quality Federico Mahora perfumes with same fragrance family kwa bei nafuu. You will never regret




Hii FM 320 na nyingine nyingiiii zote ziko tayari kuwa perfect gift kwa wapendwa wako christmas na mwaka mpya na zinakuja kwenye gift bag nzuriii. 

wasiliana nasi kwa maelezo zaidi, pia utapata msaada wa kuchagua signature perfume yako kutoka kwa perfumista mzoefu na mchangamfu kwa kujaribu sample zaidi ya 150 huwezi kosa unachotafuta iwe jinsia, age au occasion zote zipo.

email: imafmtz@gmail.com Piga simu namba 0716199724 (TZ)

KARIBUNI

Wednesday, 9 November 2011

List ya top perfume kwa ajili ya zawadi ya chrismas na mwaka mpya

chagua perfume kwa style au fragrance family, easy! Ladies first

kwa mtu irresistible, perfect kwa kutumia jioni

FM317 (Floral) na

FM 32(Oriental)


Mwanamke yoyote aliye morden atapenda hii

FM 147 (Floral)

Inaendelea

Jinsi ya kuchagua perfume inayofaa kama zawadi 2 -TIPS

Kuna maelfu ya perfume madukani, lakini sio perfume zote ni nzuri kwa kila mtu, kwa hiyo ni muhimu kuchagua perfume ambayo itamfaa mtumiaji ili kuepuka disappointment.




kumbuka perfume nzuri ni ile inayomfanya mtumiaji kujisikia vizuri, kuongeza confidence na uchangamfu, na kusaidia kuexpress haiba na mood yake. Kwa hiyo chagua the best and right one. How?

Tips:

1. Usifanye haraka kununua perfume, chukua muda kutafuta perfume nzuri.

2. Ili uweze kupata perfect perfume jaribu kuchunguza ni perfume gani mlengwa anapendelea kwa kuangalia antumia perfume ipi  kwa sasa au anpenda kuongelea perfume gani. Unaweza pia chunguza personality au style yale (casual, classic, elegant nk) au occasion ( kwa ajili ya kazini, kutokea jioni, party au matumizi ya kila siku). hii iatakusaidia kuchagua kwani kuna perfume kusuit kila age, occasion, style au personality.

3. Usinunue perfume kwa kuchagua jina la perfume au brand name au muonekano tu no no no, kama hauijui kwani majina mengine ni matangazo tu na hai-reflect juice iliyopo ndani na inaweza isiendane na vigezo hapo no.2 ambavyo ni muhimu.

4. Tip muhimu kuliko zote ni kujaribu (smell perfume) Unataka kuchagua perfume ambayo utapenda mlengwa anukie vizuri. sio vibaya kununua perfume ambayo anayotari easy! ingawa ni vizuri zaidi kama utampatia perfume tofauti ambayo inaweza kuwa katika fragrance family moja na anayotumia sasa (floral, oriental, wood, citrus, chypre au fougere, kwa maelezo zaidi ya magroup haya na mengine pitia older post) kwa njia hii huwezi kuwa disappointed.

5. usisahau kufunga zawadi yako vizuri na kuongeza ujumbe wako, wao! hii itakuwa perfect gift isiyosahaulika, 100% sure.



List ya top perfume gift kwa ajili ya chrismas na mwaka mpya inakuja, utapitwaje?

Good luck

Jinsi ya kuchagua perfume inayofaa kama zawadi 1


Chrismas na mwaka mpya zimekaribia. kwa kawaida huu ni muda wa ndugu, jamaa na marafiki kupeana zawadi kama ishara ya upendo na kujali. Kama bado haujachagua ni zawadi gani ungependa kumpa umpendaye/unayemjali (awe mama, baba, mke, mme, mfanyakazi mwenzako, ndugu, jamaa au rafiki ) unaweza kuchagua perfume kama zawadi.



Kwa nini perfume?
Perfume ni chaguo zuri sana kwa zawadi (iwe chrismas, mwaka mpya, birthday, valentine's day, mother/father's day, kumwambia mtu unampenda/unamjali au kumpa pongezi)kwa sababu ni nzuri, zinatumika kila siku na haisahauliki.

kila mtu anapenda kunukia vizuri na kuvutia. Perfume inamfanya anayeitumia ajisikie vizuri, inaongeza confidence na kuelezea personality ya mtumiaji kama mwanamke au mwanaume. Fikiria kama unaweza kumfanya mtu ajisikie vizuri kwa kumpatia zawadi ya perfume tu. Kwa hakika atakukumbuka kila wakati atumiapo perfume uliyompa na kusiwa na kila anyekutana nae kuwa annukia vizuri. Wonderful!

Kitu kizuri kutumia perfume kama gift ni kwamba haiharibiki mwezi huu au ujao, inaweza tumiwa kila siku na kwa muda mrefu kabla haijaisha na sio rahisi mtu kuisahau uvunguni mwa meza kwani kila mtu anapenda kupamba perfume zake kwenye dressing table yake au sehemu inayoonekana. vilevile mtu hawezi kusema nina perfume za kutosha kwani ni vizuri kuwa na perfume zenye harufubtofauti ili upate ya kazini, kutokea, kushindia nyumbani nk au kunukia tofauti kila siku kuliongana na mood.


Pitia tips za kuchagua perfume ili uweze chagua perfume inayomfaa unayempa zawadi

Endelea kuwepo

Tuesday, 8 November 2011

Macelebrity wa bongo nao kutoa perfume zao, hata Lady Gaga analeta yake!

Ni muda sasa tangu superstars mbalimbali kuanzia footballers (David Beckam), wanamitindo (Naomi Campbell), wacheza cinema na wanamuziki wengiii ambao nikiwataja siwezi kuwamaliza,wote kutoka majuu wamekuwa wakitumia majina na umaarufu wao kutoa perfumes ambazo zimekuwa ziki-hit soko la perfume na kulipa.

Lady Gaga

Haya hata Lady gaga nae anatoa yake mwakani sambamba na Madonna. Inasemekana perfume ya gaga itaitwa Monster na itanukia kama damu na semen. Nahisi chupa itakuwa kama skeleton fulani hivi.

Wapi macelebrity wa bongo, zamu yenu sasa kutoa fragrance zenu, inawezekana. Namimi natengeneza fragrance composition yangu ikiwa tayari nitafanya deal na celebrity mmoja wa bongo, imekaajee.

HEAT For Women By BEYONCE Eau De Parfum Spray

Hii ni ya beyonce, tunasubiri ya superstar wa bongo

Monday, 7 November 2011

PERFUME ZA UKWELI, WAHI YAKO KABLA HAZIJAISHA UNUKIEE

Bonyeza play arrow  na enjoy muonekano

Luxury Federico Mahora 296 perfume for her



Luxury Federico Mahora 294 perfume for her



Luxury Federico Mahora 295 perfume for her



Umependa , karibu unuse zinanukiaje na kuchagua yako, piga simu namba 0716199724

Madonna ku-launch perfume yake ya kwanza-Truth or Dare!

Pop star Madonna ametangaza kutoa perfume yake ya kwanza itakayoitwa Truth or Dare mwakani mwezi wa nne.

madonna


Imekuwa kawaida kwa macelebrity kutoa perfume zao na kuteka soko la perfume madukani.
Macebrity kama Mariah Carey, Jennifer Lopez, Kim Kardashian, Beyonce na wengine wengi tayari wana fragrance line zao siku nyingi.




Madonna perfume truth or dare
 
Madonna ambaye yuko obsessed na perfume (Perfumista), amekuwa akitaka kutoa perfume ambayo ni personal kwake na inamuelezea yeye na bado ikawagusa watu wengine vilevile. How nice.
 
Perfume yake inawakilisha honest na daring ndio maana inaitwa TRUTH or DARE.
 
Apparently inanukia kama perfume aliyokuwa akitumia mama yake na huko ndiko alikopata inspiration, nani kama mama! Madonna anailezea perfume yake kama something classic, timeless, modern, feminine, mysterious and fresh.
 
I can't wait to smell it.

Sunday, 6 November 2011

Eid Mubarak Perfumistas

best perfume ads

 Week end njema perfumista







Usisahau kutumia perfume uipendayo katika kukamilisha muonekano wako kulingana na wakati au occasion ofcourse ku-emphasise personality yako.
You will never go unnoticed, attraction, attraction and more attraction just like teh ads above!!



Saturday, 5 November 2011

Fragrance Families - the last four


FOUGERE
Your natural beauty…


Fern and lavender, complemented by numerous other components, such as oak moss, fresh herbs or courmarin, create a very intriguing fragrance family- fougere, whose name derives from French word meaning fern. The history of this group dates back to 19th century – that was when the first fragrance of this family was created: Fougere Royale (Royal Fern). Due to the composition Fourgere is divided into two subgroups. The first one is dominated by lavender and the second one by fern.


CHYPRE
Deep aroma of the South


Unique composition of wood, ground-herbal patchouli aroma, aromatic oil of bergamot, cedar oil, castoreum and other components, create a highly valued and popular fragrance family of CHYPRE. The name of that group derives from the first perfumes: Chypre Coty, which were inspired by Francois Coty's memorable vacation spent in Cyprus in 1917. Fragrances that belong to that group are divided into three subfamilies: chypre-fruit, chypre-wood, and chypre-animal.



CITRUS
Summer all year round


Fresh and juicy fruit such as lime, orange and bergamot create a very refreshing CITRUS family. It gives you an incredible boost of energy and stimulate you to action. These fragrances used to be created for men only, but currently they are recognised as a universal group. Depending on the composition the citrus family is divided into subgroups of lemon, mandarin, orange and bergamot.


WOOD
Discreet elegant charm


Warm and rich notes of sandal or guaiacum wood, patchouli oils combined with a bit raw but refined aroma of cedar and vetiver, and also floral scents create an elegant and sophisticated fragrance family of WOOD. Some components of these scents, such as sweet, resinous, and slightly musky sandal wood, were already used as fragrances in antiquity. This family is divided into subgroups: floral, fruit, and patchouli based.

Have a nice week end

Thursday, 3 November 2011

Fragrance family - ORIENTAL

ORIENTAL
Indescribable power of sensual scents


ORIENTAL perfumes are exotic, sensual and seductive compositions suitable mostly for women. This group is often reffered to as ambergris group and its name derives from François Coty's famous perfume - L’Ambre Antique from 1905. Sweet notes of vanilla, spicy scent of cinnamon and fruity-spicy smell of cardamom make this group a classic and sharp fragrance. This group includes subfamilies: oriental flower, spicy and ambergris


FM 162 is an example of oriental scents

Fragrance is your second skin so get it right


Remember that perfumes can smell differently on other people's skin, depending on the unique
fragrance of skin, its moisture and pH value. Never buy certain perfumes just because you like
them on someone else. The fragrance will create a unique composition with that person's skin
and you may find a different fragrance more suitable.




Nice day

Kwa wale wanaovutiwa na muonekano wa chupa ya perfume

Chupa imetuliaaa.

Fan di FENDI

Fan Di <em>Fendi</em> Eau De Parfum 50ml

FENDI Fan de FENDI (It is a pure object of desire. A glamorous piece of sensual gold. The Eau de Parfum is an exciting fragrance, a sexy scent for the skin)

Kwa wale wanaobabwa na chupa itafuteni hii iko sokoni sasa hivi.

Wednesday, 2 November 2011

Perfume ipi iliwahi kukubamba

Mimi niliwahi bambwa na hii perfume Eau du soir ya sisley. Hii ndio perfume strong na expensive niliyowahi tumia wakati niko kwenye kipindi cha kuexplore fragrance. Nahisi ni expensive kwa sababu ya packaging (hasa uo mfuniko wa gold ambao ukimaliza perfume waweza tumia kama napkin holder, ni ubunifu tu) na concentration ya perfume ukitumia kwenye ngozi itabidi uoge mara kazaa ili usiisikie kabisa. Ila inanukiaa vizuri bwana. 

Je wewe umedata na ipi? Share nasi kwa kuacha comment hapo chini. Endelea kuenjoy

Eau du Soir by Sisley for women


Eau du Soir is the second perfume by the house of Sisley and it is feminine, elegant and eternal. Its complex and rich composition is based on perfect harmony of contrasted lines: fresh citrus, sensual flowers, warm amber and musk. The bottle, with its golden stopper (made of 18 karat gold), was designed by Polish sculptor Branislaw Kryzstof. The top notes are mandarin orange, grapefruit, spruce and carnation. The heart consists of seringo, jasmine, rose and lily-of-the-valley. Musk, amber and patchouli are in the base. Countess Isabelle d’Ornano was given Eau de Soir as a gift by her husband, count Hubert d'Ornano in 1990. The count created a unique floral composition in the centre of which was Spanish flower seringa. Its fragrance, as in the case of many other types of white flowers, radiates an intense scent through night air and attracts night butterflies to pollinate it. The perfume was created to remind countess of her childhood in Spain. The name was chosen because of night flower seringe (in French, soir means evening). For several years Eau de Soir was countess' personal perfume and it was no sooner than 1999, after her friend persuaded her, that it was released for public.


Perfumista kama unapenda marashiiiii isake ni kama $200 hivi kwa ml 100.
 Kama unajenga usikonde tumia FM 142

FM NDIO NINI

Perfumistas wengi wanauliza FM ina maana gani?

FM ni brand name ya products za Federico Mahora (FM)

Company yake inaprovide high quality fragrance na makeup kwa bei nafuu kwa sababu hawatumii macelebrity au matangazo yoyote kwenye TV au magazeti kama madesigner wengine kutangaza bidhaa zao na kuongeza bei ya perfume zao. unaponunua perfume za FM unakuwa umenunu moja kwa moja kutoka kiwandani kupitia networking marketing kwa bei nafuu ukilinganisha na brand nyingine kwa quality bora zaidi (perfumistas wanaotumia FM fragrance mnaelewa ninachoongelea).

Nicole Kidman anlipwa £15 million kutangaza Chanel No. 5, you pay for it. FM perfume haina hizi cost.


na bei ndio kama hivyo £61 kwa 50ml na £86 kwa 100ml ambazo ni sawa na TSH 160,000 na 230,000
Nimetumia mfano wa chanel kwani standard ya perfume zake ni similar na FM na FM ni even better quality

Tofauti na brand nyingine FM wanatengeneza scents zaidi ya 150 kwa hito badala ya kuzipa perfume zao majina zina namba. Kuna FM 05 mpaka 329 huwezi kosa chaguo lako. Hata Chanel ana Chanel no. 5 na 19.

Kwa wale ambao bado hawajui bei zetu ni kuanzia Tsh 48,000 mpaka 85,000 tuu kulinganga na ujazo (ml), packaging na concentration ya perfume. Sio lazima kutoa malaki kunukia vizuri. Kumbuka FM fragrance ni Eau de perfume sio eau de toilet kama perfume nyingi madukani kwa hiyo inakaa kwenye ngozi/nguo kwa mda mrefu, ukijipulizia asubuhi mpaka jioniiiii bado unanukia. Ukipata perfume inayokaa kwenye nguo mda mrefu kuliko FM kwa bei ya chini ya FM rudisha nawe utarudishiwa pesa yako kama ulivyotoa. So far hakuna complaints ni compliments tuu.

Wahi yako sasa unukieeee.

Tuesday, 1 November 2011

Chagua perfume yako kutokana na fragrance groups

Ni vigumu sana kuchagua perfume moja au mbili hasa wakati huu ambao kuma perfume nyingi sana madukani kutoka katika brand tofauti.

Nimeweka magroup haya ya perfume kama guide tu in case haujui uanzie wapi kuchagua ideal perfume yako. Kama unajua perfume unayotaka ni vizuri zaidi, go for it. Trendy perfume Tz kuna perfume kwa kila group hapa chini wewe uliza tu unayotaka utapata kwa wote wanaume na wanawake.


CASUAL: Informal and natural (FM 25)

Fragrances that are universal and full of charm are a perfect blend of elegance and everyday ease. Perfect at work and in informal situations.

CHIC: Elegant and stylish (FM 57)

Captivating chic compositions for unusual occasions. The best accessories for your sophisticated formal attire.

CLASSIC: Perfect standard (FM 262)

Harmonious notes are the homage paid to classic beauty. They arouse fascination and they are unforgettable. They are suitable for any occasion.

BUSINESS: Imbued with success

Well-balanced compositions suitable for those who want to be successful. Recommended for business meetings and for all the places where you want to show your professionalism.

COOL: Party time ( FM 297)

 Unique and a bit extravagant fragrances guarantee a perfect mood for celebration. Get carried away by your imagination and be the star of the party!

MODERN: Fashionable (FM 199)

Thrilling compositions for people who love unusual combinations. They delight with their originality and they reflect modern fashion perfectly.

PROVOCATIVE: Attractive (FM 142)

Discreet invitati
on to a tempting flirt. Not everything needs to be said – sometimes it is enough to smell perfectly and all becomes clear.

REFRESHING: Invigorating (FM 296)

Energising and refreshing aromas can easily make you feel better. They are light, delicate and very inspiring.

ROMANTIC: Dreamy (FM 159)

Compositions for people who are familiar with romantic passions. Theese fragrances are an inspiration for dreams and an impulse for spontaneous actions.

SEXY: Alluring (FM 294)

Intense emotions delivered by these compositions will make you feel very sexy.

TIMELESS: In vogue (FM 152)

Timeless compositions that never go out of fashion. They are suitable for any occasion.

 WARM: Passionate (FM 195)

Fascinating scents that  inflame the senses, raise the temperature like no other! Perfect for the evening.


SPORTIVE: Active (FM 192)

Fresh and invigorating fragrance notes will stimulate you to take on new challenges, challenges connected not only with sport.

SEDUCTIVE: Magnetic (FM 293)

Seductive scents that bring you into the world of unforgettable experiences. They tempt with the richness of fragrance notes. They are recommended especially for the evening.


ENERGISING: Vigorous (FM 300)


Intense and dynamic. They are like an uncontrolled energy explosion. Feel the new power in you!

ELEGANT: Smart ( FM 287)

Perfectly combined aromas of noble fragrance notes will be ideal in situation when you want to show your class.

FRESH: Cooling (FM 292)

Fascinating fresh fragrances captivate with their lightness and etherealness. They bring cool relief just like a fresh breeze on a hot day

SENSUAL: Voluptous

Sensual fragrances that inflame the senses, emphasise self-confidence, success, and thirst for new experiences.

ENJOY


Perfume designer Kim Kardashian ataka talaka baada ya ndoa ya siku 72 tu!

Presenter jina kubwa Kim Kardashian na mumewe Kris Humphreys wameachana na kuna habari  ya kuwa Kim ame-file divorce baada ya ndoa yao kudumu kwa takribani siku 72 tu. Ilishahabarishwa kuwa Kim alionekana akiwa hana pete yake ya ndoa kwa siku kadhaa kabla ya habari hii.







Kim alitoa limited edition perfume 'LOVE' maalum kwa ajili ya harusi yake na ambayo iliuzwa na kwisha ndani ya siku kumi tu. What a hit!!



KIM KARDASHIAN LOVE FRAGRANCE

Monday, 31 October 2011

Ukweli kuhusu pheromones spray na kuongeza mvuto

Kwa wale perfumistas waliotaka kujua zaidi kuhusu pheromones spray, soma artical hapa chini.


Pheromones increase attraction.

You dont have to be born with good look to be popular. Sometimes a little charm can go a long way. Charming people use secreat weapon that double their appeal to the opposite sex almost instantly, no gym membership required. It's based on the natural science of sexual attraction and it's proven to enhance your love life. The secret weapon is Pheromones.

What are Pheromones?
Pheromone is greek from the word Pheran meaning to transfer and Horman meaning to excite.
Pheromones are natural chemicals found in insects, animals and humans that are secreted in sweat and other bodily fluids. they release neurotransmitters that are believed to directly modify the behaviour of the opposite sex. Animals in perticular, communicate through pheromones. Pheromones are nature's aphrodisiac and when applied topically they can greatly improve your relationship and life.

Scientist have long hypothesized that these pheromones are natuaral sexual attractants that wield a powerful influence on their mating habits. In fact, many studies have shown that people who produce higher than average amount of pheromones have greater success with members of the opposite sex. 

have you ever wondered how some people seem to get 'lucky' more often than othes? Or have you seen a couple just 'hit it off' after meeting for the first time. Some people call it 'great chemistry' but part of what makes up this sensuous attraction to the opposite sex is pheromones.



researchers have shown in clinical experiments that male pheromones trigger a subconsious sexual response in women. These are the men women find irresistible, desireble, and highly sedactive.

In one study, pheromones were sprayed on only one chair in a dentist's waiting room. The other chairs were not sprayed. it was found that women were more likely to sit on the chair that was sprayed with pheromone tha the others.

In similar study conducted on the national TV show ABC 20/20 identical twin brothes were used in the testing. only one of the twins was sprayed with pheromone. women found the twin who had pheromone on more attractive than the other.

It is also said that businness men use pheromones to gain additional trust and respect; and sales people use pheromones and found it adventage in their dealing with customers.

Haya perfumistas ni hayo tu. je, ni kweli pheromones zinafanya kazi, zisake na wewe upate jibu. eti ukitaka kujua uzuri wa ngoma uingie uchezee. Kama ushatumia tayari unakaribishwa kutoa maoni yako.

Week end njema.