Monday, 14 May 2012
Wednesday, 18 April 2012
Mambo ya Fiderico Mahora (FM)
Picha kwa hisani ya FM webite
Je wajua kwamba FM-group wana product zaidi ya perfumes/cognes? Endelea tembelea kwani tutawaleteeni bidhaa maridhawa za FM zilizokidhi European Standards kwa reasonable price.
Tuesday, 17 April 2012
Real leather, durable and Comfortable. Coming soon!!
Jk style(Real leather, light and comfortable)
Mzigo utaingia na bidhaa kama hizo pia kwa akina baba. Endelea tembelea blog kwani pamoja na fm perfumes, design perfumes/cognes pia zitakuwepo kwa reasonable price tokana na ombi la wengi . Kumbuka, hakuna mchina hapa kwani bidhaa zote zinatoka kwa mama (UK) na zimekidhi European standards.
Monday, 16 April 2012
Perfumes/Cognes Mahotelini
Kwa mujibu wa mtandao wa Rosewood hotels and Resorts, ambazo zimetawanyika America/Canada, Carribean/Atlantic, Midle East na Mexicao, mteja huhitaji kutembea na perfume/colognes kama unapanga kwenye hotel/resort zao. It’s just the matter of ringing the bell na mhudumu maalum mtaaluma wa mambo hayo atakuja na trey yenye perfume/colognes kwa ajili yako ujipilizie ama iwe ya jioni/kazini au mtoko! Hongera rosewood hotel kwa kuwajali wateja, sijajua gharama zao ni vp maana mambo hayo!!!! Inawezekana pia hii ni kwa sababu za liquids rules at airports. Na hakika hii ni sensible approach maana airports na liquids ni issue siku hizi.
(Picha kwa hisani ya yahoo)
Saturday, 11 February 2012
CHEZEA MANUKATOOO
PERFUMISTAS UKISIKIA PERFUME INAONGEZA ATTRACTION NA CONFIDENCE NDIO KAMA HIVI LOLEST.
HII INAWAKILISHA MARASHI YOYOTE, WEWE JINUKILISHEE UONGEZE MVUTO
WEEKEND NJEMA
HII INAWAKILISHA MARASHI YOYOTE, WEWE JINUKILISHEE UONGEZE MVUTO
WEEKEND NJEMA
Monday, 6 February 2012
VALENTINE'S DAY GIFT IDEAS
HABARI PERFUMISTAS NIMEWAMISIJE. SAMAHANI KWA KUPOTEA KIDOGO ILA SOON KUTAKUWA NA VITU VYENYE MANUFAA ZAIDI HUMU MJENGONI (STAY TUNED).
KWA KUWA HII NI FEBRUARY AKA MWEZI WA KUSHEREHEKEA SIKU YA WAPENDANAO (NB: KUPENDANA NI KILA SIKU LOL) KAMA BADO HAUJAPATA ZAWADI YA UMPENDAYE HUJACHELEWA BADO UNA WIKI NZIMA. TOA ZAWADI KAMA ISHARA YA UPENDO .
SIKU ZOTE PERFUME HUFANYA ZAWADI NZURI AMBAYO MPEWAJI ATAITHAMINI NA KUIFURAHIA KWANI NI KITU CHA KINACHOTUMIWA KILA SIKU. PIA NI KITU RAHISI KUTOA KWANI NI SUITABLE KWA JINSIA ZOTE NA MTU YEYOTE WA UMRI NA UHUSIANO WOWOTE SI KITU UTACHOJIULIZA MAMA ATANIFIKIRIAJE NIKIMPA ZAWADI YA PERFUM AU RAFIKI YAKO ACHILIA MBALI MPENZI.
KWA MAHITAJI YAKO YA PERFUM ZA UKWELI GOOD QUALITY, CLASSIC, LUXURY, AFFORDABLE NI ILE ILE FM BRAND PERFUMES ZA KIKE NA KIUME.
PIGA SIMU NAMBA 00255 716 199724 NA UTALETEWA MPAKA MLANGONI HII NI KWA WOTE NDANI NA NJE YA DAR.
BAADHI YA PERFUME ZILIZOPO KWENYE STOCK LEO NI KAMA HIZI:
FM 294
FM 297
FM 318
FM 322
FM 308
FM 311
PAMOJA NA CLASSIC COLLECTION ZA KIKE NA KIUME NYINGI.
KUMBUKA UTAPATA NAFASI YA KUNUSA SAMPLE KABLA HUJANUNUA. WAHI SASA KWANI DEMAND NI KUBWA SANA.
HAPPY VALENTINE'S DAY PERFUMISTAS. UNAONAJE UKITUMIA MUDA HUU KUSHARE KITU CHOCHOTE KUHUSU VALENTINES DAY KAMA VILE ZAWADI UTAKAYOTOA AU KUPOKEA SIKU YA VALENTINE'S DAY NK.

Monday, 9 January 2012
FM PERFUME REVIEW 2
NENO LA LEO
The scent on your skin gradually develops its unique bouquet. So do not rub it in and do not warm it up with your hands. Let it blossom in its own time. At first it will delight you with the fresh head note, then with the more characteristic heart note and finally the most lasting base, called the deep note
PERFUME ZA LEO
FM306
50ml Parfum Spray
(20% perfume percentage)
Sophisticated combination of pear, jasmine, patchouli, styrax japonica and spices: ginger and saffron.
Floral - Go ahead. kama unahitaji extra confidence tumia hii popote utajiaminijeeee
FM308
Delicate charming aroma of jasmine, honey, orange flower and tea leaves.
Floral - Delicate. Kama hupendi marashi makaliii hii inakuhusu soooo fresh
FM309
Oriental - extravagant poa kwa kutumia jioni. wapi kitcheni party
FM322
100ml Eau de Parfum Spray
(16% perfume percentage)
A serene blend of juicy grapefruit, sensual jasmine and hyacinth aromas, with the warm scents of cedar and white musk.
Floral - Hii ndio zile perfume zinaitwa timeless yaani hazipitwi na wakati na zinaendana na wakati na mazingira yoyote tumia mchana kazini au jioni kwenye mtoko.
FM317
50ml Parfum Spray
(20% perfume percentage)
Alluring aroma of juicy peach combined with lilac, pink pepper,
patchouli and ambergris.
Floral - Sensual. Mambo ya hisia za kipekee haya.
Floral - Sensual. Mambo ya hisia za kipekee haya.
INAENDELEA
ENJOY
UNAHITAJI MOJA KATI YA HIZI LUXURY PERFUMES AU NYINGINEZO KAMA HIZI PIGA SIMU NAMBA 0716199724 UNUKIE VIZURI KWA BEI RAHISIIIII
Sunday, 8 January 2012
RESOLUTIONS FOR 2012
KILA MWANZO WA MWAKA NI KAWAIDA KWA WATU WENGI KUJIWEKEA MALENGO AMBAYO WANGEPENDA YAFANIKIWE KUFIKIA MWISHO WA MWAKA. IKIWA NI PAMOJA NA KUBADILISHA LIFESTYLE, KUBADILISHA KAZI AU KITU CHOCHOTE KITAKACHOMNUFAISHA MPANGAJI KATIKA MAISHA YAKE YA KILA SIKU.
KWA KUA NDIO TUMEUANZA MWAKA 2012 NIMEONA TUSHEE MALENGO YETU YA MWAKA HUU.
PERFUMISTAS KATIKA MALENGO YAKO YA MWAKA MPYA KUNA HATA MOJA LINALOHUSIANA NA PERFUME? TUJUZE
MIMI NIMEANZA KUTIMIZA LENGO LANGU LA KUONGEZEA PHEROMONE PERFUMU JUU YA PERFUME ZANGU, HAKIKA INANAFASI YAKE KATIKA SWALA ZIMA LA MANUKATO NA USAFI. UKITAKA KUAMINI FATA NYUKIIII.
KUWA FREE KUSHARE KITU CHOCHOTE NASI KWA KUACHA COMMENT YAKO HAPO CHINI AU EMAIL imafmtz@gmail.com

pheromone yenyewe ndio hii
KUWA FREE KUSHARE KITU CHOCHOTE NASI KWA KUACHA COMMENT YAKO HAPO CHINI AU EMAIL imafmtz@gmail.com
Friday, 6 January 2012
LOVE AT FIRST SCENT HASWAAA, UTANUKIAJEE?
Perfumistaz new arrival ndani ya dar. FM perfumes mpya za ukweli na bei nafuu ziko mujini. Hili ni toleo jipya kabisa na maalum kwa ajili ya kufungulia mwaka. Kama wewe ni mpenzi wa scent zile zile kila mwaka hii inakuhusu, kwani kuna collection ya kila aina ku-suit kila mtu chaguo ni lako.
Jaribu moja kati ya 100s FM scents kwa kupiga simu namba 0716 199 724 kwa 100% money back guarantee kama yasemwayo hayapo. (BEI NAFUU SANA sio lazima ulipe laki au zaidi kunukia vizuri, TOP QUALITY zinakaa kwenye nguo/mwilini kwa muda mrefu kulinganisha na high street designers brand names)
BAADHI YA LUXURY COLLECTION KWA WANAWAKE ELEGANT
NAADHI YA LUXURY COLLECTION KWA WANAUME SMART
KUNA CLASSIC COLLECTION ZA KILA SCENT KUKIDHI MAHITAJI YAKO KWA AJILI WANAWAKE NA WANAUME HUWEZI KOSA YAKO IWE KWA KUTUMIA JIONI, KAZINI AU KWA MATUMIZI YA KILA SIKU
DEMAND NI KUBWA HIVYO WAHI YAKO SASA KABLA HAZIJAISHA.
KUMBUKA FM PERFUMES HAZIPATIKANI MADUKANI KUNUNUA AU KUJARIBU SAMPLE PIGA SIMU NAMBA 0716 199724- DAR NA UTALETEWA MPAKA MLANGONI BILA KUSAHAU MIKOANI.
WA ARUSHA NA MOSHI PIGA SIMU NAMBA 07581159944
ENDELEA KUWEPO KWANI PAMOJA NA MAMBO MENGINE KUTAKUWA NA REVIEW YA FM PERFUMES MOJA MOJA KILA SIKU
SIKU NJENA
Thursday, 5 January 2012
MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA
Habari za mwaka mpya perfumistaz. Samahani sana kwa kutokua na jipya humu mjengoni kwa wiki chache zilizopita majukumu yalikula kwangu kidogo. Ila nimerudi na kuahidi kuleta vitu vipya na vyenye manufaa zaidi hasa ukizingatia huu ni mwanzo wa mwaka.
Kama una lolote la kuchangia kuhusu usafi na manukato au linginelo la kuelimishana katika lifestyle unakaribishwa kushare nasi kwa kutuma chochote utachopenda kuwekwa hapa kupitia www.imafmtz@gmail.com bila kubaniwa ili mradi tu isiwe kitu kitachomdhuru mtu mwingine kwa njia yoyote.
Asanteni sana kwa kutembelea trendy perfumes tz kwani bila nyie haiwezekani.
karibu na enjoy.
Sunday, 1 January 2012
HAPPY NEW YEAR PERFUMISTAS
TRENDY PERFUMES TZ INAWATAKIA WOTE HERI YA MWAKA MPYA WENYE AFYA NJEMA, FURAHA NA MAFANIKIO.
Subscribe to:
Posts (Atom)