Friday, 25 November 2011

WEEKEND POLL

Kuwa free kujibu maswali matatu yafuatayo ya poll yetu ya week hii, its just for fun.

1. je, leo umetumia perfume gani?

2. Una jumla ya perfume ngapi kwenye dressing table yako?

3. Ni perfume gani hauna lakini unatamani sana kuwa nayo?

Mimi nimetumia hivi
Federico mahora(FM) unperfumed deodorant, FM 142 Eau de perfume na FM 147 body lotion, full layering. 



Have a nice weekend perfumistaaz. God bless you.

PATA IDEAS YA ZAWADI ZA KUTOA CHRISTMAS

Of course pamoja na vitu vingine vyoote, perfume is a must have kwenye list yako. Bonyeza upate ideas toka kwa justin bieber. Kunukia muhimu.



Wasiliana nasi nawe upate yako. siku zimekwisha. Simu 0716199724 au pitia yako Dallas sinza kijiweni.

IMEBAKIA SIKU MOJA

Perfumisha unakumbushwa kutumia siku ya leo kupitia dallas shop na kupata perfume yako iwe ni kujitreat mwenyewe au zawadi ya chrismas na mwaka mpya kwa wapendwa wako wakati huu wa punguzo. Kesho Jumamosi Punguzo linakiwisha na bei zinarudi kuwa kama kawaida.

FM PERFUME GIFT FOR HER 

FM PERFUME GIFT FOR HIM

Usiikose, Save pesa yako. Tumia high quality Federico Mahora perfume kwa bei nafuu.
Express your personality.

WEEK END NJEMA

Wednesday, 23 November 2011

ONYESHA UPENDO KWA WAPENDWA WAKO XMAS HII NA MWAKA MPYA


Unaweza kuwa na mapenzi ya dhati kwa yeyote unayemjali (mke,mume, wazazi, ndugu, jamaa na marafiki) lakini kama huonyeshi hili hawawezi jua. Zawadi ni kitu kidogo ila thamani yake kwa mpokeaji ni zaidi ya maneno. kwani mtu ataona ni jinsi gani umechukua muda wako kumfikiria na    kumpa kitu ambacho kitamfanya ajisikie vizuri na kukukumbuka siku zote.

kitu kama perfume ni perfect gift, pitia yako leo pale Dallas kabla punguzo na stock havijaisha. pia waweza toa order yako kupitia imafmtz@gmail.com au piga simu namba 0716199724. Punguzo mwisho ni jumamosi hii.

Onyesha LOVE, toa Zawadi.

Pata ujumbe na burudani toka kwa MC- I want to know what love iiiiiiiis, I want you to shooooow me



                                                                   ENJOY

Tuesday, 22 November 2011

SNEAK PICS ZA VIATU VYA UKWELI

Hivi vyootee na vingine vingi vinapatikana live ndani ya nyumba, bongo. Nenda na wakati kwa kuvaa moja kati ya hivi ambavyo ni trendy sasa hivi, usipitwe.






















Kama wewe sio wa michuchumio hivi pia vipo bila kusahau KT





Endelea kuwepo kwa habari zaidi kuhusu hii miguu ya haja.

                                                                     Siku njema

Monday, 21 November 2011

Viatu vya ukweli kudhamini Trendy Perfumes Tz blog, Yeeeeiii!

Habari njema kwa wale wapenzi wa viatu. Very soon utapata kuona viatu kama hivi na vingine vingi live humu mjengoni na vyote vinapatika Tanzania kwa bei nafuu, size kuanzia 36 mpaka 41. Usicheze mbali.



kama hiki kimekubamba nibeep kupitia imafmtz@gmail.com kujua ni wapi utakipata leo. Mwanamke kiatu usafiri majaaliwa.

Hili ni angalizo tu, habari yenyewe inakujaa. Utapitwaje.

Sunday, 20 November 2011

PUNGUZO LA BEI ZA PERFUME, WAHI SASA NI KWA WIKI 1 TU

Kuna punguzo la bei kwa wiki moja kuanzia jumapili hii mpaka jumamosi ili kuwasaidi perfumistas kuchagua zawadi za christmas na mwaka mpya iwe unaji-treat mwenyewe au mpendwa wako.

Kuna fragrance nyingi tofauti kukidhi upendeleo wako na kurepresent character, jinsia na umri wowote, kama ifuatazo:

FM 262 for her 30ml floral(TIMELESS) Tumia hii wakati wowote, popote inafaa. Ukitumia asubuhi kazini, kama unaonganisha na mtoko jioni wewe jipulizie tena kabla haujatoka kazini na kila utapopita watu watatamani upite tena.

FM 12 for her 30ml Oriental(sensual)Kwa wale wenye dates au evening/dinner out na anayekujali hii nitarudisha attention yoote kwako wala hataangalia pembeni lol.

FM 32 for her 30ml Oriental (Extravagant) Kama inavyojielezea ina kila kitu extra unachotegemea kutoka kwenye manukato nzuri zaidi kwa jioni ila ukipenda toka nayo muda wowote

FM 21 for her Floral (Timeless)Haipitwi na wakati hii tumia popote, kila perfumista must have haitamiss kwenye dressing table yako forever.

FM 34 for her 30ml Chypre(Chic) kama umealikwa kwenye party na hauna mood wa kuparty tumia hii, night club ndio yenyewe. Hakuna harufu ya sweat au sigara, party mpaka asubuhi

FM 125 for her 30ml Floral (Go ahead) tumia hii popote, mahususi kwa wanawake wenye strong character ambao hawaogopi kuface challenges itakuongezea nguvu na confidance na bado unukie kama lady

FM 142 for her 50ml Oriental (Provocative) Usije tu ukatumia hii kazini kwani kama inavyoelezea ni provocative, Kicheni pati au mtoko wowote ndio mwake ila angalia usije mfunika mtarajiwa na spray moja shingoni na viganja vya mikono au la kila unachoshika kitabaki na harufu ila ni taamuuuu. Kama wewe unataka kunukia pitia hii zimebaki mbili tu.

FOR MEN

FM 132 for him 50ml Citrus(Light) kama haupendi harufu kaliii lakini unapenda kunukia freeesh wahi hii imebaki moja tu kwenye stock.

FM 135 for him 50ml Fougere (Light)Hii pia ni kwa wale wnaume wanaopenda kunukia vizuri lakini wako sensitive na harufu kali sana.

FM 56 for him 50ml Chypre (Determined) Ukitumia hii ni wewe tu utakae kuwa noticed/attracted kwenye group

FM 60 for him 50ml Wood (Liberated) Maalum kwa open-minded modern men

FM 54 for him 50ml Fougere (Bussiness) perfect kwa smart successful na professional man kazini

FM 68 for him 50ml Fougere (Business) hii ni sawa na FM 54 kwa successful professional au business men

FM 208 for him 50ml Wood (Elegant) Kama wewe ni mpenzi wa popula perfume play for men by givenchy ukinusa hii hautaiacha, sooo smart and stylish scent

 FM 223 for him 50ml oriental (Elegant) ongeza mvuto na style kwa kutumia  modern scent kama hii















FM 198 for him 50ml Wood (Determined) perfect kwa wanaume wanaojiamini











FM 152 for him 100ml Wood Elegant) Hii scent haitakuangusha kama unahitaji kureprent ulivyokua modern, stylish na smart muda wote











FM 155 for him 100ml Wood (go ahead) Hauhitaji kujiuliza mara mbili uende au usiende full kujiamini tumia hii

Haya stock inaishia kwa hiyo usikose yako wakati huu wa offer, pitia Dallas shop leo. Duka liko sinza kijiweni karibu na duka la nguo la kwa wajanja au piga simu 0716 199724 au 0787 638958 kutoa order yako utumiwe popote mikoani. Au kwa maelezo zaidi tuma email imafmtz@gmail.com 

Bei ni kati ya Tsh 45,000 na 65,000 tu, wiki ya punguzo usiikose, offeer ikiisha bei ya kawaida inarudishwa
                                                            KARIBU

Wednesday, 16 November 2011

Kubadilisha taste ya perfume


Imekuwa ni kawaida ya perfumista wengi kupendelea kutumia perfume fulani kwa sababu wamekuwa wakiitumia kwa muda mrefu na wanaamini inawafanya wanukie na kujisikia vizuri. Kwa hiyo unakuta mtu anaendelea kununua perfume ile ile over and over again. Sio vibaya kuendelea kutumia kama unaipenda ila ni vizuri pia kuchanganya na nyingine wakati mwingine.

Well, kadri siku zinavyokwenda vitu around you vinabadilika hii ni permoja na umri, kazi au lifestyle kwa ujumla hata taste ya perfume inabadilika.Unaweza kupenda perfume fulani kwa sababu kila mtu mjini anaitumia, wakati mwingine sio vibaya kwenda kwenye mkusanyiko wa watu ukiwa unanukia attractive lakini kivyako.

At te end of the day, unapotumia perfume si kwa ajili ya  kuwafurahisha watu wengine, ila kutumia perfume inayokupendeza na kukufurahisha wewe. Kwa hiyo usijali kutumia perfume ambayo watu hawai-recognise ili mradi unaacha kumbukumbu nzuri.

Perfume iko kwa ajili ya kuelezea wewe ni mtu wa aina gani na ni therapy ambayo haihitaji therapist kwa hiyo lipuka na scent uipendayo kwa muda uupenda na mahali upendapo utajisikia vizuri muda wote.



                                                 Express yourself with scents

Unakaribishwa kutoa maoni yako kuhusiana na hili au linginelo, siku njema.

Tuesday, 15 November 2011

Zawadi za christmas na mwaka mpya

All you need this Christmas, bonyeza mshale ufurahie


FM 297 LUXURY EXTRAVAGANT COLLECTION 50ML

Wasiliana nasi sasa upate yako, namba na email address ni zile zile au pitia Dallas shop, sinza kijiweni

KARIBU

Manufaa ya kuwa perfumista

Kuwa perfumista ni zaidi ya kunukia vizuri tu. Ukiwa mpenzi wa kutumia perfume kama sehemu ya life style yako kama vile football, music, drinking nk utapenda na kuenjoy vitu vingi vinavyohusiana na burudani.

Inasemekana ku-appreciate perfume kuna-affect maisha yako kwa ujumla (in a positive way).
Perfume inaamsha hisia mbalimbali, inaacha impression na experience nzuri, na ku-balance beauty na style.



Kama ni mpenzi wa perfume basi endelea kuenjoy kwani kuna manufaa kwako, kama sio mpenzi wa perfume bado jaribu leo utashangazwa na experience nzuri utakayoipata.

Na ukitaka perfume za ukweli, usisahau kukatiza Dallas pale sinza kijiweni ukapate yako kwa bei poa au piga simu 07161 99724 au 0754 450958 pia waweza tuma email yako kupitia imafmtz@gmail.com kwa huduma zaidi

FM 320 na 321 for Her

perfume kama hizi na nyingine nyingi zinapatikana, wahi kabla stock haijaisha

Endelea ku-enjoy

America's next top model nao wana perfume yao!




Kipindi maarufu cha reality TV show kutoka marekani kinachoongozwa na Model Tyra Banks nacho kina perfume yake inayoitwa Dream Come True, how sweet.

Dream Come True imetengenezwa kumfanya msichana yeyote anayeitumia kujisikia mwenye furaha, na kuhamasisha mafanikio katika kazi.





Dream Come True yenyewe ndio hii, ya ukweli.

America’s Next Top Model Perfume Dream Come True

Be Inspired. Warembo itafuteni

Sunday, 13 November 2011

Perfume ya Justin Bieber yawafunika J lo na Britney Spear

Perfume ya mwanamziki mpya Justin Bieber SOMEDAY ime-hit market na imeshatengeneza zaidi ya $ million 3 mwaka huu licha ya kuingia sokoni mwezi uliopita tu. Mafanikio ya perfume ya Bieber ni zaidi ya yale ya perfume ya JLO GLOW na CURIOUS ya Britney Spears.

Someday


Imasemeka perfume ya JB ndio popular celebrity fragrance ya mwaka so far.

Wapi celebrity wa bongo

Friday, 11 November 2011

zawadi zetu za chrismas zinaendelea

Pata ideal gift yako iwe kuji-treat mwenyewe au kwa ajili ya wapendwa wako. Wahi kabla hazijaisha christmas imekaribia, dont leave to last minute.

Kwa kuwarahisishia wateja wetu perfume zote na gift set sasa zinapatika Dallas duka la vitu za ukweli lililopo sinza kijiweni karibu na duka la nguo la kwa wajanja. Wa kariakoo kaeni mkao wa kula zinakuja upande wenu.

Vile vile unaweza pata huduma kupitia simu namba 0716199724 au email imafmtz@gmail.com kama kawa

Utajisikiaje ukiamka asubuhi siku ya christmas ukakutana na kitu kama hiki maalum kwa ajili yako, that's all I wish for chrismas.
                                                            KARIBUNI

Thursday, 10 November 2011

Tangazo la perfume ya Marc Jacobs Oh, Lola! labaniwa

Tangazo la perfume mpya ya Marc jacobs Oh, Lola! zimefungiwa na Advertising Standards Agency (ASA) kwa kuwa linasemekana kuwa sexually provocative. ASA wameangalia umri na mavazi ya model na position ya chupa katika kufanya maamuzi. Hii yuote ni katika kuwalinda watoto.



Je unafikiri tangazo limetendewa haki au wamewabania tu?

Ijumaa njema

Hot new high street scents

Nice and pricey Kama budget inaruhusu zisake pia
Guilty IntenseGucci guility Intense (Oriental) 50ml £59

ELIE SAAB LE PARFUMElie saab le parfum(Floral) 50m £60

Trésor Midnight RoseLancome Tresor midnight rose (floral) 50ml £49

Kama kawaida hizi ni high street brand kwa hiyo hizi price zinasababu zaidi ya quality ya perfume(waweza pitia older post FM ni nini kujua zaidi)

kwa nini usijaribu exceptional high quality Federico Mahora perfumes with same fragrance family kwa bei nafuu. You will never regret




Hii FM 320 na nyingine nyingiiii zote ziko tayari kuwa perfect gift kwa wapendwa wako christmas na mwaka mpya na zinakuja kwenye gift bag nzuriii. 

wasiliana nasi kwa maelezo zaidi, pia utapata msaada wa kuchagua signature perfume yako kutoka kwa perfumista mzoefu na mchangamfu kwa kujaribu sample zaidi ya 150 huwezi kosa unachotafuta iwe jinsia, age au occasion zote zipo.

email: imafmtz@gmail.com Piga simu namba 0716199724 (TZ)

KARIBUNI